Msaada: Jinsi ya ku-upload pics kwenye post za Jf.

my name iz young pola
:popcorn: :cofee: :lol: :smile: :wink: :wink2:
 
mbona kwangu
attachment.php

Du darasa bado ntafahyaje km picha ipo ndani ya mobile yangu tena BlackBerry 8100 kwani naambiwa nipitie Java script
 
Nami najaribu cjui
Hata mimi nimechukua almost a day kuweza ku-upload kama hivi:
Janet_Jackson_4.jpg
Lakini kumbe ni rahisi kuliko nilivyokuwa nafikiria. Mwanzoni nilitaka kujua jinsi ya kufanya hivi kwa kutumia mobile phone yenye browser inayoitwa Opera Mini. Anyway wewe unatumia device gani?​
 
Back
Top Bottom