Msaada: Jiko la gesi hutoa moshi mwingi kuchafua sufuria

Infopaedia

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
1,231
Reaction score
1,496
Habari zenu wakuu. Nina jiko la gesi linatoa masinzi sana kwenye sufuria.

Nikibandika sufuria nikaweka moto mkubwa kidogo, sufuria huwa nyeusi sana kwa masinzi.

Naamini kuna tatizo mahali kwani mwanzo haikuwa hivi.

Kama kuna mwenye suluhisho la hili tatizo naomba anipe msaada.
 
Habari zenu wakuu. Nina jiko la gesi linatoa masinzi sana kwenye sufuria. Nikibandika sufuria nikaweka moto mkubwa kidodo, sufuria huwa nyeusi sana kwa masinzi. Naamini kuna tatizo mahali kwani mwanzo haikuwa hivi. Kama kuna mwenye suluhisho la hili tatizo naomba anipe msaada.
Gesi unayotumia itakuwa ni chafu.
Jaribu ORYX
 
Habari zenu wakuu. Nina jiko la gesi linatoa masinzi sana kwenye sufuria. Nikibandika sufuria nikaweka moto mkubwa kidodo, sufuria huwa nyeusi sana kwa masinzi. Naamini kuna tatizo mahali kwani mwanzo haikuwa hivi. Kama kuna mwenye suluhisho la hili tatizo naomba anipe msaada.

Hakuna uchafu au kitu chochote kisichotakiwa kuwa kwenye burner, labda kinaungua? Jiko la gesi kutoa masinzi sio kawaida...
 
kwahiyo mkuu unakua kama unatumia jiko la mkaa..!! angalia usije ukaitia madoa ceiling board ya Mwenye Nyumba.
 
Duuh gesi imekua kuni tena?OK badilisha tu jiko late mkuu.
 
Hakuna uchafu au kitu chochote kisichotakiwa kuwa kwenye burner, labda kinaungua? Jiko la gesi kutoa masinzi sio kawaida...

Hakuna kitu chochote mkuu. Kingekuwepo ningesikia harufu ya kuunguwa kwake. Hata hivyo, nitafanya ukaguzi.
 
Ni burner zote au? Adjust zile air holes, huwa zipo chini ya jiko kwenye zile pipe za chuma

Ni jiko lenye burner moja tu, brand ya Nikai. Asante mkuu, nitajaribu ku-adjust then nitaleta mrejesho.
 
Habari zenu wakuu. Nina jiko la gesi linatoa masinzi sana kwenye sufuria. Nikibandika sufuria nikaweka moto mkubwa kidodo, sufuria huwa nyeusi sana kwa masinzi. Naamini kuna tatizo mahali kwani mwanzo haikuwa hivi. Kama kuna mwenye suluhisho la hili tatizo naomba anipe msaada.

Kama unatumia Alpha gas ina hilo tatizo
 
kwahiyo mkuu unakua kama unatumia jiko la mkaa..!! angalia usije ukaitia madoa ceiling board ya Mwenye Nyumba.

Yaani ni bora masinzi ya mkaa ni ya kishkaji. Yaani haya ya gesi ni balaa, sometimes unakuta tope la masinzi. Ceiling board imeshapata khabari yake zamani. Sijui kama mapafu ya shemeji yako nayo yamepona!
 
Habari zenu wakuu. Nina jiko la gesi linatoa masinzi sana kwenye sufuria. Nikibandika sufuria nikaweka moto mkubwa kidodo, sufuria huwa nyeusi sana kwa masinzi. Naamini kuna tatizo mahali kwani mwanzo haikuwa hivi. Kama kuna mwenye suluhisho la hili tatizo naomba anipe msaada.

Hapo tatizo ni fuel to air ratio na sio uchafu wa gesi au nini sijui! Chungulia chini ya jiko lako utakuta vijibati vya kuziba au kuachia hewa inayo ingia kwenye vijitundu vinavyo ingiza hewa kabla ya mchanganyiko wa hewa na gesi haujaingia kwenye bunners, cha kufanya pale washa jiko lako, alafu adjust vijibati hivyo slowly huku ukiangalia rangi ya flame/moto kwenye burner endelea ku-adjust mpaka moto uonekane totally blue, ukiona moto umechanganyika wa bluu na majano basi endelea kurekebisha.

Adjustment/vibati hivyo vipo chini za duct ya chuma inayoingiza gesi kwenye burner kila bunner ina adjustment moja - kazi ya vibati hivyo ni kurekebisha hewa inayo changanyika na gesi kabla haijafika kwenye bunner, hewa ikingia ndogo rangi ya flame inakuwa yellowish kama ya kibatali na kutoa moshi mweusi/masizi - hewa ikingia ya kutosha basi rangi ya flame inakuwa blue (i.e complete combustion) ukifanikiwa ku-adjust vijibati hivyo hutaona tena masizi. Goodluck.
 
Asante sana mkuu. Ndiyo nimetoka kulisafisha sasahivi. Yaani umeelezea kiutaalamu na nimekuelewa mia kwa mia. Hivyo vibati vya ku-adjust nimeviona ila sikujua kazi yake ni nini. Nilikuwa nime-focus kwenye kusafisha burner na duct za gesi kama walivyonishauri wadau wengi. Nilivifungua hivyo vibati ili nipate upenyo wa kusafisha duct. Then nikavirudishia, nikawasha jiko lakini sikuona changes zozote baada ya usafi. Hivi sasa ninajua chanzo cha tatizo langu na jinsi ya kutatua hilo tatizo. Asante sana mkuu. Watu wengi watafaidika na mchango wako kwani tatizo hili linawakumba wengi tu.
 
Don't MENTION, tupo pamoja mkuu.
 
Na Mimi nimepata same prob thanks nana Kesho nitajaribu kufanya nip ate matokeo mazuri
 
Yaani ni bora masinzi ya mkaa ni ya kishkaji. Yaani haya ya gesi ni balaa, sometimes unakuta tope la masinzi. Ceiling board imeshapata khabari yake zamani. Sijui kama mapafu ya shemeji yako nayo yamepona!

duuh..!! mpeleke Shemeji Hosp yeye nadhan muda mwingi ndo anashinda na jiko...ok angalia ishu ya kununua burner mpya
 
Nimeshatatua tatizo mkuu. Ratio ya gas na hewa ilikuwa poor sana. Kuna vibati vya ku-adjust kiwango cha hewa kinachochanganyika na gas, nime-adjust vibati na jiko limerudia upya wake. Soma comment ya Bakyanagandi hapo juu.
 
Na Mimi nimepata same prob thanks nana Kesho nitajaribu kufanya nip ate matokeo mazuri
Nimeshatatua tatizo mkuu. Ratio ya gas na hewa ilikuwa poor sana. Kuna vibati vya ku-adjust kiwango cha hewa kinachochanganyika na gas, nime-adjust vibati na jiko limerudia upya wake. Nina uhakika na wewe tatizo ni hilohilo. Utafanikiwa tu.
 
Back
Top Bottom