Msaada: Jiko la gesi hutoa moshi mwingi kuchafua sufuria

Khaa!! Chief hiyo flame uliyonayo tayari ni luminous flame ndiyo maana inatoa moshi. Hii ndiyo sifa ya luminous flame. Nadhani unahitaji non luminous flame ili isiwe na moshi pia itoe joto kubwa. Ni rahisi kufanya hivyo kwa kuongeza kiasi cha gesi ya oksijeni katika flame. Na hii inafanyika kwa kufungua vidirisha vya hewa vilivyochini karibu na valvu za kufungulia hewa katika jiko lako. Fungua taratibu hadi usikie flame imeanza kutoa kelele. Hii ni sayansi niliyofundishwa darasa la sita :mvutaji:

mkuu asante nimeshasolve!!
 
Dah
Hapo tatizo ni fuel to air ratio na sio uchafu wa gesi au nini sijui! Chungulia chini ya jiko lako utakuta vijibati vya kuziba au kuachia hewa inayo ingia kwenye vijitundu vinavyo ingiza hewa kabla ya mchanganyiko wa hewa na gesi haujaingia kwenye bunners, cha kufanya pale washa jiko lako, alafu adjust vijibati hivyo slowly huku ukiangalia rangi ya flame/moto kwenye burner endelea ku-adjust mpaka moto uonekane totally blue, ukiona moto umechanganyika wa bluu na majano basi endelea kurekebisha.

Adjustment/vibati hivyo vipo chini za duct ya chuma inayoingiza gesi kwenye burner kila bunner ina adjustment moja - kazi ya vibati hivyo ni kurekebisha hewa inayo changanyika na gesi kabla haijafika kwenye bunner, hewa ikingia ndogo rangi ya flame inakuwa yellowish kama ya kibatali na kutoa moshi mweusi/masizi - hewa ikingia ya kutosha basi rangi ya flame inakuwa blue (i.e complete combustion) ukifanikiwa ku-adjust vijibati hivyo hutaona tena masizi. Goodluck.

Shukran mkuu, leo hii uzi wa 2015 nami pia umenisaidia. Bye bye masisizi. JF ndio kila kitu.
 
Hakika mkuu.....leo hii nimefaidika mimi pia. Nilitaka tafuta fundi majiko ila nkajiambia em kwanza nichakarike kusearch kwa JF maana hakuna kinachokosekana, uzuri nawe ukawa umeanzisha uzi huu. Shukran mkuu na wote waliotoa mawazo yao. Nimemaliza tatizo la moshi kabisaaa!
 
Salaam wakuu?
Naomba kwa anayejua anisaidie nawezaje kutatua tatizo la jiko la gesi kutoa moto mwekundu unaosababisha masizi kwenye sufuria badala ya ule moto wa bluu ambao ndo unatokaga kwenye gesi?
 
Safisha hako kajungu na brush wire ili hayo matundu ya kupitisha gas na hewa yawe wazi, check kifuniko cha kati km kipo sawa angalia km gas inausha au pipe imebinywa. mwisho fungulia knob ya mtungi mpaka mwisho ili itoke jwa kiwango chake
 
Fanya kama lazalaza alivoshauri [emoji6]
 
Moto mwekundu ina maana gesi haipati hewa ya kutosha(incomplete combustion) hivo fungulia zaidi matundu ya kupitasha hewa kwenye burner.
 
Habari wakuu,

Nina jiko langu la Nikai ambalo nimelitumia yapata miaka miwili bila tatizo lolote. Sasa baada ya gesi kupanda kwa zaidi ya sh. 11,000 na baada ya kusoma maoni ya wanaJF wakati natafuta muafaka wa kubana matumizi ya gesi, nikasoma maoni kuwa kuna namna ya kubana ili moto utoke vyema wastani.

Sasa katika chokonoa chokoa ndio nikakutana na sehemu hizi lakini ukweli nimeshindwa jinsi ya kufanya moto utoke wa wastani badala yake umetoka mkali wenye kuweka masizi.

Msaada wa namna ya kuweka ili jiko litoe ule moto unakuwa kama wa ubluu fulani.

Picha...

Screenshot from 2017-04-15 20-12-02.png
 
Dah mkuu,
Una vidole vizuri,

Mimi natumia jiko la gesi saizi ya kati,
But nahisi hizo parts nahisi ni moja kati ya sehemu zinazosaidia kuwasha jiko.
 
Mkuu washa Jiko lako kama kawaida halafu pitisha vidole vyako kwenye hivyo vichuma ulivyovishikilia halafu vizungushe clockwise au anticlockwise kama ulivyokuwa unafanya hapo uku unaangalia moto wako, utaona unabadilika. Zungusha mpaka upate moto wa blue..kimoja ni cha round ndogo na kingine ni cha round kubwa, kama inavyoonekana hapo.
 
Habari wakuu,

Nina jiko langu la Nikai ambalo nimelitumia yapata miaka miwili bila tatizo lolote. Sasa baada ya gesi kupanda kwa zaidi ya sh. 11,000 na baada ya kusoma maoni ya wanaJF wakati natafuta muafaka wa kubana matumizi ya gesi, nikasoma maoni kuwa kuna namna ya kubana ili moto utoke vyema wastani.

Sasa katika chokonoa chokoa ndio nikakutana na sehemu hizi lakini ukweli nimeshindwa jinsi ya kufanya moto utoke wa wastani badala yake umetoka mkali wenye kuweka masizi.

Msaada wa namna ya kuweka ili jiko litoe ule moto unakuwa kama wa ubluu fulani.

Picha...

View attachment 496527
Mtu wa UDSM haha,
 
Chachu Ombara kumbe picha uliyoweka kwenye avatar yako ni wewe halisi? Nilikuwa nawaza kwamba huenda umeweka kwa kuifurahisha tu!! Ngoja wataalam waje wakuelekeze!!
 
Back
Top Bottom