Msaada: Jiko la gesi hutoa moshi mwingi kuchafua sufuria

Msaada: Jiko la gesi hutoa moshi mwingi kuchafua sufuria

Moto wa gesi unapotoa moshi ni kwasababu ya incomplete combustion - supply ya oxygen sio nzuri kwenye burner.

Kazi ya hiyo valve ni kucontrol flow of oxygen kwenda kwenye burner. Inaziba vitundu viwili kama inavyoonekana.
Ushauri wangu ni ujaribu kuzungusha hiyo valve mpaka pale ambabo vitundu vyote vitakuwa wazi kabisa.
 
Kuna magroup ya whatsappl ya ges so ni vizuri ukajiunga ukaeleza shida yako ukasaidiwa. Sisi Tulikuwa na Tatizo hilo hilo tukaomba Msaada kwenye group tukaletewa fundi mpaka nyumban kutengeneza plate 1 lakini katuambia plate nyingine kuna vitu vimekufa.
 
Wanajamii forum habari za muda huu!

Jiko langu la gas linatoa masizi"produce soots" kwa nini kwani lina mwaka lakini Leo ndo linafanya hivi ni kwa nini?

Msaada tafadhali nifanyeje?
 
Wanajamii forum habari za muda huu!
Jiko langu la gas linatoa masizi"produce soots" kwa nn kwani lina mwaka lakn Leo ndo linafanya hivi ni kwa nn? Msaada tafadhali nifanyeje?
Aina gani.la kuweka mezan au yale yenye oven?
 
Linaanza kutoa masizi gesi inapokaribia kuisha
 
Wanajamii forum habari za muda huu!
Jiko langu la gas linatoa masizi"produce soots" kwa nn kwani lina mwaka lakn Leo ndo linafanya hivi ni kwa nn? Msaada tafadhali nifanyeje?

Hilo tatizo ni kuwa gas inakuwa haichomwi vizuri, na mara nyingi inakuwa ni kwa sababu ya kukosa balance nzuri kati ya Gas na Hewa ya Kawaida (Oxygen), angalia pipe zako vizuri kama zinapitisha hewa zaidi ya inavyotakiwa, majiko mengine yanakuwa na kitu cha kuadjust hewa ya nje inayochanganyika na gas
 
Jaribu kulisafisha hayo matundi madogo, itakuwa limechafuka. Pulizia kwa kutumia kitu kama pump ya kujazia upepo.
 
Geuza jiko lako chini.....utaona kama viblade flani hivi visogeze viache matundu wazi,,itakuwa wakati wa kuosha vilijisogeza vikaziba,,,fanya hilo zoezi then weka sufuria washa
 
Check kwa chin upande wa mbele kuna sehem ya kua adjust flame
Good japo umeelezea kwa kifupi.
Tatizo ni kwamba, gas-air mixture is not proportional. Yani jiko linatumia gesi nyingi kwa hewa kidogo. Kama kuna sehemu ya ku adjust air holes, fanya hivyo ili kuhakikisha jiko lako linavuta hewa ya kutosha ili liweze kuwa na complete burning.
 
Geuza jiko lako chini.....utaona kama viblade flani hivi visogeze viache matundu wazi,,itakuwa wakati wa kuosha vilijisogeza vikaziba,,,fanya hilo zoezi then weka sufuria washa
Ok thanks ngoja nijaribu mkuu
 
Good japo umeelezea kwa kifupi.
Tatizo ni kwamba, gas-air mixture is not proportional. Yani jiko linatumia gesi nyingi kwa hewa kidogo. Kama kuna sehemu ya ku adjust air holes, fanya hivyo ili kuhakikisha jiko lako linavuta hewa ya kutosha ili liweze kuwa na complete burning.

Nami msaada jamani, jiko langu la plate mbili, plate moja inavuja gas, nimeshindwa hata kulitumia linatengenezeka au ndio la kutupa ninunue lingine
 
Back
Top Bottom