Msaada jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada jamani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sipo, May 7, 2009.

 1. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Leo asubuhi nimeingia kwenye email address yangu kusoma email kama kawaida yangu lakini cha ajabu nimekuta contacts zote nilizokuwa nimeifadhi zimefutwa. Na kibaya zaidi kuna watu wangu wa muhimu sana tena ninaofanya nao biashara wananilalamikia kwa kuwatumia email message za ajabu. Sasa najiuliza nini kimetokea kwenye email yangu wakati hakuna mtu mwingine yeyote anayeifahamu password yangu. Am real confused maana nimepoteza contacts za muhimu sana kwenye kazi zangu za biashara ndani na nje ya nchi. Mimi natumia yahoo.com. Nisaidieni wana JF ili niju ni nini kimetokea na nifanye nini ili kuzuia hali hii isitokee tena. Asanteni
   
 2. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  sipo is RESEARCHER
   
 3. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2009
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Run Anti Virus kwenye pc yako na kuwa makini usifungue e-mail kutoka kwa watu usiowafahamu.
   
 4. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  thanks alot Senior, and i remember now two months ago i read two messages from unknown persons to me from West Africa
   
 5. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  what does it mean
   
 6. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,582
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Are you diong a research??
   
 7. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2009
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  kilichotokea kwa emai yako ni kwamba one of the hacker ameweza kupata email address yako.ktk pc yako kuna open ports ambazo jamaa ametumia kuingia na kuiba information zako.
  kitu kingine ni kwamba network unayotumia si secure!
  nakushauri hivi download software moja inaitwa threat fire au nyingine inaitwa spy boart seacrh and destroy,then installl kwa pc yako ili kuongeza security.
  usisome email from watu ambao huwajui,usiwe na mazoea ya kuapdate windows online,
  usifungue attachment yoyote yenye picha ambayo ina .exe, hata kama inatoka kwa mtu inaemfaham.
  antivirus uliyonayo haizuii si imara sana kwa hacker, pc yako inahitaj more security sana.hakikisha most of ur folder unazilock.
  kwa mawasilianao zaidi :tumia maleges@yahoo.com
   
 8. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #8
  May 8, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  thanks alot for the nice advice,
   
 9. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #9
  May 8, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  basically research is my work but for this thread am not doing a research, this is the serious problem in my part. But still i appreciate your question my fellow Senior!!
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  May 8, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  We jamaa unayeitwa BURN si mshauri mzuri... Why the hell unamwambia

  jamaa kuwa kwa vile yeye ni researcher, basi afanye utafiti mwenyewe

  kwenye computer yake?

  Kama huwez kutoa msaada bora ukae kimya- sio kudiscourage watu mzee

  - Big respect!
   
 11. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #11
  May 8, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  ndugu kwani huwa heki copy ya sent email ? Angalia kwenye sent mail inawezekana ukapata contacts chache , halafu kingine ukiwa na account ya gmail unapotuma email tu ile anuani huwa inajihifadhi katika contact list yako moja kwa moja unaweza kuiexport kuweka katika flash hata katika cd kwa matumizi ya baadaye kama hiyo ilivyotokea

  kingine uwe unapenda kufanya backup ya email zako

  hiyo inawezekana hata sio hacker hata ni mtu anayekujua tu kafanya kusudi

  naweza kukuambia kwanini sio hacker ---- next time

  tuendelee na mjadala
   
Loading...