Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,085
Jaman wadau naombeni msaada wenu wa hali na mali, kuna ndugu yangu m1 ana kiwanja chake maeneo ya tegeta sasa kuna mtu amevamia akajenga kwenye hcho kiwanja hvvyo anaomba msaada wa mabunsa ili wakabomoe hyo nyumba haraka iwezekanavyo kwa sababu ye anataka kujenga ya kwake........... kwa hyo kama humu kuna mabaunsa naomba tuwasiliane ili tukamsaidie........... nawasilisha ombi langu..:help: