Kama pia wameondoka na simu za habiria,ipo techology ya kuwapata,but cjui police wetu kama wana vifaa(japo ni so easy to do it) poleni sana wahanga wote wa tukio hili
Equipment identity register (EIR): The EIR is a database for all IMEIs, i.e.,
it stores all device identifications registered for this network( eg Tigo, ZAIN Vodacom etc). As MSs are
mobile, they can be easily stolen. With a valid SIM, anyone could use the
stolen MS. The EIR has a blacklist of stolen (or locked) devices. In theory an
MS/ Mobile phone is useless as soon as the owner has reported a theft. Unfortunately, the
blacklists of different providers are not usually synchronized and the illegal
use of a device in another operator's network is possible (the reader may
speculate as to why this is the case). The EIR also contains a list of valid
IMEIs (white list), and a list of malfunctioning devices (gray list)......
source Book tiitled Mobile Comunication by JOCHEN SCHILLER
...Ni kweli na inasemekana hata polisi wawili waliokuwa wakisindikiza hilo basi walitupa silaha zao na ku-craw na kuingia porini. Nadhani jeshi la polisi kuna haja ya kuangalia mbinu nyingine za medani kupambana na hawa jamaa kwani hii ya kuweka tu askari wenye silaha kwenye basi haitoshi. Majambazi wamekuwa wajanja na wana silaha nzito mno.Matukio yote ya ujamabazi kwenye njia ya kigoma/Kibondo/Nyakanazi polisi wanaosindikiza mabasi huingia mitini sasa sijui nini maana ya wao ku-escort basi.Mmoja wa waliofariki kwa kupigwa risasi na hao majambazi ni Katibu wa vijana wa Ccm Musoma mjini Ndg Buga.RIP
Preta jana nilikuwa na muadi na mtu akaniyeyusha sasa nilivoona hii avarta yako nikawa natamani kama mapaja yanaweza kufunguka . Yaani ningekuwa jogoo ningezunguka mtaa mzima kutafuta. Anyway poleni mliovamiwa
Preta jana nilikuwa na muadi na mtu akaniyeyusha sasa nilivoona hii avarta yako nikawa natamani kama mapaja yanaweza kufunguka . Yaani ningekuwa jogoo ningezunguka mtaa mzima kutafuta. Anyway poleni mliovamiwa
...Ni kweli na inasemekana hata polisi wawili waliokuwa wakisindikiza hilo basi walitupa silaha zao na ku-craw na kuingia porini. Nadhani jeshi la polisi kuna haja ya kuangalia mbinu nyingine za medani kupambana na hawa jamaa kwani hii ya kuweka tu askari wenye silaha kwenye basi haitoshi. Majambazi wamekuwa wajanja na wana silaha nzito mno.Matukio yote ya ujamabazi kwenye njia ya kigoma/Kibondo/Nyakanazi polisi wanaosindikiza mabasi huingia mitini sasa sijui nini maana ya wao ku-escort basi.
Habari wanaJF naomba msaada wa haraka kutoa taarifa kwa wahusika wa jeshi la polisi kwani kuna basi limetekwa mbele yetu zaidi ya nusu saa na hakuna polisi wala nini tuko kijiji cha makere wilaya ya kasulu tunasafiri kwenda Dar.
pole sana kwa kuachwa mbuzi......labda alitaka kukuchuna akaona huna manyoya ya kutosha
Habari wanaJF naomba msaada wa haraka kutoa taarifa kwa wahusika wa jeshi la polisi kwani kuna basi limetekwa mbele yetu zaidi ya nusu saa na hakuna polisi wala nini tuko kijiji cha makere wilaya ya kasulu tunasafiri kwenda Dar.
Ile njia ni balaa! 2008 nilipanda basi ktokA MZA-KG, kwa lengo la kupunguza gharama! Escort tuliopewa Ndg yangu wanatimiza wajibu tu, tena wanaogopa kuliko hata sisi raia! wale wakimbizi wakt mwingne wanakuwa na LPG na magrenade!
wabongo na hang over za uchaguziCCM hao wanaacha kulinda wananchi wao wanadeal na CDM tu,
Polisi aliyekuwa akisindikiza basi amepona au basi halikuwa na askari wa kusindikiza mwenye silaha??
aliyekufa ni abiria polisi wote wamekimbia.