Msaada jamani tumetekwa kasulu

Msaada jamani tumetekwa kasulu

Ok, pole mkuu na huyo mwenzetu alale pema peponi, JK juzi kasema ujambazi umeisha.....yule jamaaa bwana yaani sijui hua haoni@!!! kwa hiyo huo sio ujambazi ni kampeni za CCM hizo na hio milio ya risasi ni fataki CCM wanashangilai ushindi????
 
Naona huyu bwana Musa atakuwa ameshasolve hiyo prblm....kama bado basi siku nyingine ajitahidi kuwa serious....watu tumepata wasiwasi lakini naona hajali hiyo....next tym mtu mwingine akiwa na shida watu watashindwa kusaidia

Jamani nimepata namba zote na tumejitahidi kuzitumia kuomba msaada na kutoa taarifa kumbukeni pia tuko porini so, na network ni problem pia. But so far we have survived.
 
Jamani nimepata namba zote na tumejitahidi kuzitumia kuomba msaada na kutoa taarifa kumbukeni pia tuko porini so, na network ni problem pia. But so far we have survived.
tafadhali zi-save for future use
 
Du poleni sana, naona wameijibu hotuba ya Kikwete kuhusu ujambazi.
 
Jamani nimepata namba zote na tumejitahidi kuzitumia kuomba msaada na kutoa taarifa kumbukeni pia tuko porini so, na network ni problem pia. But so far we have survived.

uuuh...poleni sana najua mlipata mitikisiko ya moyo....hiyo hali huwa inatisha sana......huyo jamaa aliyekufa ni abiria wa hilo basi lililotekwa au ni kati ya hao polisi?
 
Polisi aliyekuwa akisindikiza basi amepona au basi halikuwa na askari wa kusindikiza mwenye silaha??
 
hapa sasa JF na IDUMU MILELE.......! TUDUMISHE UMOJA NA MSHIKAMANO....TUSAIDIANE KATIKA SHIDA RAHA PASIPO KUJALI TOFAUTI YA ITIKADI ZETU.....!
VIVA TANZANIA....VIVA TANZANIA...!
 
kutokana na tukio hili nimejifunza niwe na namba za polisi.. ngoja nizi-save!!
 
kutokana na tukio hili nimejifunza niwe na namba za polisi.. ngoja nizi-save!!

pamoja na kujifunza kuwa na namba za polisi......pia ujifunze uvumilivu wa kuwa na subira wakati umewapigia..... wana tabia ya kutokuja muda muafaka au isipokelewe au isipatikane kabisa.....ni muhimu kujifunza hilo
 
Poleni sana ndugu zangu wa Kigoma,Pole sana wote kwa mujibu wa ndugu yangu aliyekuwa kwenye basi la Sumri watu wawili wamekufa na wanne wamejeruhiwa vibaya sana.

Poleni sana.
 
hapa sasa jf na idumu milele.......! Tudumishe umoja na mshikamano....tusaidiane katika shida raha pasipo kujali tofauti ya itikadi zetu.....!
Viva tanzania....viva tanzania...!
viva jf
 
Habari wanaJF naomba msaada wa haraka kutoa taarifa kwa wahusika wa jeshi la polisi kwani kuna basi limetekwa mbele yetu zaidi ya nusu saa na hakuna polisi wala nini tuko kijiji cha makere wilaya ya kasulu tunasafiri kwenda Dar.

Majambazi siku hizi wanateka hata asubuhi? duh.

Mdau poleni sana, ndio hali halisi hiyo Kigoma na Kagera..tabaka tawala lote lipo Dar, halijui wala kuwajali wananchi wa huko. Watu wanaibiwa na kufilisiwa mitaji yao, wanauawa na wanawake kubakwa na kudhalilishwa kijinsia.

Sijui nani atawanusuru na madhila yenu.
 
vipi ukijaribu kupiga emergency number nadhani ni 112....mlioko Kigoma msaada jamani

Hivi hii number ya 112 kwenye mobile ambayo hata simu ikiwa haina chip au hakuna Network inatakiwa kupiga popote duniani inafanya kazi Tanzania kweli???? Kama inafanya kazi ukipiga inakwenda wapi?
 
Kama pia wameondoka na simu za habiria,ipo techology ya kuwapata,but cjui police wetu kama wana vifaa(japo ni so easy to do it) poleni sana wahanga wote wa tukio hili
 
Mmoja wa waliofariki kwa kupigwa risasi na hao majambazi ni Katibu wa vijana wa Ccm Musoma mjini Ndg Buga.RIP
 
Pole sana mu-sir tupo mbali asia hatuna msaada zaidi ya kusema pole,ila pia mi niwashukuru wana jf kwa kuitikia mwito wa kutoa msaada wano za polisi,nadhani huu ndio ushilikiano tunaohitaji usio wakinafiki ni wadhati pasipo kuangalia chama,mungu awabaliki sana
mapinduziiiiiii daimaaaaaaa
 
uuuh...poleni sana najua mlipata mitikisiko ya moyo....hiyo hali huwa inatisha sana......huyo jamaa aliyekufa ni abiria wa hilo basi lililotekwa au ni kati ya hao polisi?

Preta jana nilikuwa na muadi na mtu akaniyeyusha sasa nilivoona hii avarta yako nikawa natamani kama mapaja yanaweza kufunguka . Yaani ningekuwa jogoo ningezunguka mtaa mzima kutafuta. Anyway poleni mliovamiwa
 
Back
Top Bottom