Msaada jamani tumetekwa kasulu

Ukweli ni kwamba Polisi wenyewe nao wamekata tamaa na mishahara midogo, maslahi duni pamoja na mazingira mabaya ya kazi na kwa ufupi wanasindikiza tu ili kutimiza wajibu wasifukuzwe kazi, sio ajabu wamekimbia!
 
Back
Top Bottom