Mu-sir namba hizo hapo juu umepewa. piga tafadhali.
kama simu haina vocha weka namba yako au ni"PM nikupunguzie atleast 500.
kwanini usipige namba za Polisi mkuu!
Ndugu Mu-Sir.....vipi maendeleo?
Naona huyu bwana Musa atakuwa ameshasolve hiyo prblm....kama bado basi siku nyingine ajitahidi kuwa serious....watu tumepata wasiwasi lakini naona hajali hiyo....next tym mtu mwingine akiwa na shida watu watashindwa kusaidia