Msaada jamani nikila chakula nasikia njaa baada ya muda mfupi

Msaada jamani nikila chakula nasikia njaa baada ya muda mfupi

Mkuu nimekwenda hapa kwa Father babu nimimepim kila kitu daktari ananiambia ajaona kitu ameniandika dawa ila ktk hizo dawa zipo ulizoniambia jana[albendazol] nimeona ninywe hizi ulizo niambia mkuu zingine naona wamenipiga tu!Mtaka sasa nishakula mara nne hii ni hatari
Dah pole sana mkuu...tumia hizo mkuu kisha utanipa mrejesho
 
Wajuzi nisiwachoshe nina tatizo limejitokeza toka mwezi wa 12 kwa siku naweza kula chakula ata mara 5-6 na bado ndani ya muda mfupi njaa inarudia! hili tatizo nahisi linataka kuniyumbisha kiuchumi maana maisha yenyewe ya kubaingaza sasa pesa inakatikia katika milo isio na idadi.

Naomba ushauri nifanye nini kuepukana na hii hali na kuna tiba ya kunisaidia
Hii ni hali ya kawaida kwa hizi dawa mlizopewa wakati huu. Side effect yake mojawapo ni kuumwa njaa
 
Mkuu unaweza kunitumia jina la dawa jioni neende kwa macho ya paka pale mjengo ya chini nikachukue dawa!mtu nakula zaidi ya mara 6 maji natamani ata nihamie mto themi pale lita moja napiga mara 1 tu natupa chupa kule
Ngoja nikikumbuka mkuu iko poa sana.

Inasaidia sana kurudisha digestion system

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi nilikuwa,mtu wa V.RBa sana arusha mixer makaliii. Na nilikuwa mvivu kuzingatia msosi

Sent using Jamii Forums mobile app
mie msoso ni kila kitu mkuu mambogamboga yote ya themi usiulize ugali mkubwa tu likn hali iliojitokeza sio poa mkuu mpaka washaji wananion zombi jana nilikula ugali mara 3 mchana uoni ni danger hiyo!
 
Wajuzi nisiwachoshe nina tatizo limejitokeza toka mwezi wa 12 kwa siku naweza kula chakula ata mara 5-6 na bado ndani ya muda mfupi njaa inarudia! hili tatizo nahisi linataka kuniyumbisha kiuchumi maana maisha yenyewe ya kubaingaza sasa pesa inakatikia katika milo isio na idadi.

Naomba ushauri nifanye nini kuepukana na hii hali na kuna tiba ya kunisaidia
Swali la msingi.

Unavuta bangi?
 
M
Minyoo waliokubuhu ,tafuta maabara nzuri kapime , tumia dawa kulingana na maagizo ya daktari

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru ila kama minyoo ata wife ananishangaa maana tukianza kupiga show lazima kuwe na mapumziko ya bila kufunguna!yani kwa wastani ninamabadiliko ktk mwili wangu nataka nijichange niende seliani hospitali naweza pata ushauri!ila dawa za mdau mmja humu nimeanza leo kuzipiga
 
Wajuzi nisiwachoshe nina tatizo limejitokeza toka mwezi wa 12 kwa siku naweza kula chakula ata mara 5-6 na bado ndani ya muda mfupi njaa inarudia! hili tatizo nahisi linataka kuniyumbisha kiuchumi maana maisha yenyewe ya kubaingaza sasa pesa inakatikia katika milo isio na idadi.

Naomba ushauri nifanye nini kuepukana na hii hali na kuna tiba ya kunisaidia
Izo Albendazol sio za kunywa !! Unatakiwa utafune sijui kumung'unya asubui kabla hujala chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahanini jamani sikua hewani nilikwenda polini kidogo!ila natanguliza shukrani kwenu na wote mliokua bega kwa bega na mimi wakati wa matatizo haya ya ajabu kabisa ila huyu -Extrovert-

ni zaidi ya daktari kwangu mkuu pokea asante za kutosha kwa ushauri wa dawa za kutumia kweli nilinunua dozz 2 kwa sasa nafuu naweza kula mara 4 tu au mara 3 lkn msosi wa maana mungu awabariki kuna mdau mmoja kaniambia niongeze dozz ata moja hivi itafaa asante sana JF zaidi ya familia ukiondoa lile la kukutana na wadau ana kwa ana
 
sindesunde,Mkuu ,tatizo lako ni metabolism ya mwili wako iko very fast,namaanisha mmenge'nyo wa chakula niwa haraka sana tumboni,hii inatokana kula vyakula ambavyo havikai sana tumboni.. mfano chai na mkate,apa usitegemee kushiba,chakula kingine ni ugali na dagaa,ugali haukai tumboni Kwa mda mrefu lazima usikie njaa mkuu,kwaiyo ili kutibu tatizo lazima ujuee ni vyakula gani unatakiwa Kula ,ili uweze slow down metabolism .vyakula ivyoo ni fats Na nyama,

hapa utaweza kushiba Kwa mda mrefu bila Kula ovyoo bila mpangilio.unatakiwa uchanganye vyakula ,mfano ugali nyama..,hapa utashiba ,mfano wa fats ni karanga inasaidia pia slow down metabolism ya mwili..utaweza kushiba Kwa mda mrefu.jipimie Kula karanga asubuhi ,mchana, Na jioni.,itasaidia sana... ushibe vizuri.kwa ufupi Kula vyakula..Kama protein na fats .wanga Kula kidogo ...mkuu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom