Msaada jamani nikila chakula nasikia njaa baada ya muda mfupi

Wajuzi nisiwachoshe nina tatizo limejitokeza toka mwezi wa 12 kwa siku naweza kula chakula ata mara 5-6 na bado ndani ya muda mfupi njaa inarudia! hili tatizo nahisi linataka kuniyumbisha kiuchumi maana maisha yenyewe ya kubaingaza sasa pesa inakatikia katika milo isio na idadi.

Naomba ushauri nifanye nini kuepukana na hii hali na kuna tiba ya kunisaidia
Huwenada una minyooo au una mapepo
 
Kwa haraka inaonesha hizo dalili yaani ,kiu,kukojoa sana na kuhisi njaa sana ni dalili za kisukari cha kupanda.Hata hivyo bado ukweli utabaki kwenye vipimo kwanini usifike hospitalini ndugu,ukiwahi ndiyo utapata unafuuu zaidi kuliko kulea tatizo
 
Uzito-68
Umri-38
Shughuli-muda mwingi nakua kibaruani ila cha kukaa ktk kiti kwa muda mwingi
Maji-mpaka sasa nashapiga lita 4 na ushee nasikia kiu kilawakati ikimbatana na njaa kali
Kukojoa-usiku sio sana mara 2 azidi hapo mkuu
Dx, Pdx???? DM
 
Tafta kitu kinaitwa "albendazol"

Hakikisha alfajiri kabla hujapiga mswaki unamumunya vidonge viwili. Ukishatumia dose 1 urudi kuleta feedback baada ya siku 3.
Mkuu nimekwenda hapa kwa Father babu nimimepim kila kitu daktari ananiambia ajaona kitu ameniandika dawa ila ktk hizo dawa zipo ulizoniambia jana[albendazol] nimeona ninywe hizi ulizo niambia mkuu zingine naona wamenipiga tu!Mtaka sasa nishakula mara nne hii ni hatari
 
Kwa hiyo hospital ulienda kupima ndo wamekupa majibu kuwa hauna minyoo?
nimepima haja ndogo na kubwa nimepima blood presure sukari iko sawa mpaka dokta akawa ananishangaa
 
Wajuzi nisiwachoshe nina tatizo limejitokeza toka mwezi wa 12 kwa siku naweza kula chakula ata mara 5-6 na bado ndani ya muda mfupi njaa inarudia! hili tatizo nahisi linataka kuniyumbisha kiuchumi maana maisha yenyewe ya kubaingaza sasa pesa inakatikia katika milo isio na idadi.

Naomba ushauri nifanye nini kuepukana na hii hali na kuna tiba ya kunisaidia
Unakunywaa pombe kaliii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahisi jirani yako atakuwa anaiachia misukule yake kila siku ije kula kwako una share nayo sahani ya chakula
 
Hii halii iliwakunitokea nilipelekwa hosp nikapimwa wakakuta nina tatizo la digest system.

Maana nilikuwa ni kula lakini kiukwelii nilikuwa nasikia njaa baada ya dakika na hata nile vizuri vipi shida iko pale pale. Nili pungua ndani ya week ila baada ya kupata dawa nilikuwa poa sana na week moja afya ikarudi nikawa ni kila hali inakaa sawa nashiba vizurii tu.

Na ndo ugonjwa ukafia hapooo

Mkuu ndio mpaka nikiwa job sasa si hatari hiyo ata mshana bwashee wangu lkn atoi mchango !
 
Uzito-68
Umri-38
Shughuli-muda mwingi nakua kibaruani ila cha kukaa ktk kiti kwa muda mwingi
Maji-mpaka sasa nashapiga lita 4 na ushee nasikia kiu kilawakati ikimbatana na njaa kali
Kukojoa-usiku sio sana mara 2 azidi hapo mkuu
Nakushauri uweze kwenda hospitali, kuna uwezekano ikawa ni dalili za kisukari. Nenda hospitali mkuu upate kufanyiwa vipimo muhimu na kupatiwa tiba na/au ushauri kulingana na majibu ya vipimo
sindesunde
 
Hii halii iliwakunitokea nilipelekwa hosp nikapimwa wakakuta nina tatizo la digest system.

Maana nilikuwa ni kula lakini kiukwelii nilikuwa nasikia njaa baada ya dakika na hata nile vizuri vipi shida iko pale pale. Nili pungua ndani ya week ila baada ya kupata dawa nilikuwa poa sana na week moja afya ikarudi nikawa ni kila hali inakaa sawa nashiba vizurii tu.

Na ndo ugonjwa ukafia hapooo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaweza kunitumia jina la dawa jioni neende kwa macho ya paka pale mjengo ya chini nikachukue dawa!mtu nakula zaidi ya mara 6 maji natamani ata nihamie mto themi pale lita moja napiga mara 1 tu natupa chupa kule
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom