Barnaba mbalale
Member
- Apr 4, 2014
- 55
- 6
- Thread starter
- #61
Huwezi kupata kila kitu unachokipenda...jifunze kuwa kila jambo huja kwa wakati wake.
kwan m2 huwez kupenda ukiwa unasoma!swala ni kujitambua 2
Huwezi kupata kila kitu unachokipenda...jifunze kuwa kila jambo huja kwa wakati wake.
Huwezi kupata kila kitu unachokipenda...jifunze kuwa kila jambo huja kwa wakati wake.
Si Huwezi kumwambia? unataka tukusaidiaje? kumwambia?
fungukia hio binti aisee
fungukia hio binti aisee
mankaM kufunguka hapo nd naxindwa naona ugum kchz,af naogopa kama akinikataa itakuaje
acha hizo mwanaume huwa haogopi
ha ha ha lol like a teenager boy si karatasi italoweshwa na maji!!🙂^^
Andika kwenye karatasi, akija kuchota maji, tumbukiza karatasi kwenye ndoo hafu ukimbie asione sura yako
^^
Miaka 18 kwa mvulana bado sana kujitambua kwa maswala ya kimapenzi as far as i understand without liability, hebu tulia kwanza muache na binti asome na akue, then ukianza twenty something then ujiulize if u still have the same feelings on that girl .....j2 njemaa
Unashindwa kumuambia nini????
Ng'oa hiyo bomba hapo nyumbani kwani ndio inasababisha huyo she anakuja nyumbani nawe umuonapo unapata mfadhaiko. Utakuwa umetatua tatizo maana hatakuja tena nyumbani.Jamani naombeni mnishauri kuna msichana mzuri ameamia mtaani kwetu na huwa anakuja kuchota maji nyumbani tatizo nashindwa kumwambia naombeni ushauri wenu wana j.f
Unabalehe vibaya wewe! Kaa chonjo watakuumbua!Jamani naombeni mnishauri kuna msichana mzuri ameamia mtaani kwetu na huwa anakuja kuchota maji nyumbani tatizo nashindwa kumwambia naombeni ushauri wenu wana j.f
Bila angalizo la umri hapa,tutapigana vikumbo na wanetu.
Hahahaaa...
Demu akichomoa basi unamfungulia mashitaka ya kupuuza mamlaka zilizowekwa kisheria.
Ng'oa hiyo bomba hapo nyumbani kwani ndio inasababisha huyo she anakuja nyumbani nawe umuonapo unapata mfadhaiko. Utakuwa umetatua tatizo maana hatakuja tena nyumbani.