Msaada jamani, Nashindwa kumuambia

Msaada jamani, Nashindwa kumuambia

xa nifanyaje!!

Hebu kamalizie home work huko angalia hata uandikaji wako wa kitotoo!! Balehe kazi kweli kweli.
 
Hata unavyosound tu ni bado mdogo sana. Akili yako haijajua mapenzi. Soma kwanza ukikua na kupata akili ya kuielewa vizuri dunia utapenda unavyovitaka mwenyewe.Its a matter of waiting. Tatizo sisi waTZ hatukai tukazungumza na wazazi wetu. Mzazi atakupa ushauri mzuri sana kuliko sisi wote hapa. Kazana usome. Usitamani Meli kabla hujapanda baskeli.
 
Kuna wengine production ya hormones huchelewa kwa hiyo balehe huenda mpaka miaka 22-24. Kwa hiyo wewe kuwa na 18 years bado sana!

18 tosha sana kuwa Dem !
22 - 24 akianza huko ndo atakuwa vokoless kabisa !
 
Kama vipi mwambie tu kwamba ebana mie nakuzimia sana na mind nikufahmu kwa undani niachie namba ya simu kama vp....akikataa basi..kwani shing ngapi@@????
 
Back
Top Bottom