Msaada jamani hiki ni nini?

Kwani aliyekuuzia nyumba hiyo si yupo? Jaribu kumshirikisha ili kama ni mali yake uweze kumkabidhi mzigo wake.
 
Unaogopa makaratasi mpaka unayafunguliwa uzi? Hakuna lolote hapo, pengine ni mganga wa kienyeji aliwapiga fedha wamiliki wa mwanzo, akawadanganya ni zindiko la nyumba. Vitu vingine unatakiwa usiendekeze sana. Mimi nimehangaika kuomba mtu yoyote mwenye nyumba yenye majini ambayo imekimbiwa, aniambie nije nilale ndani na mpaka sasa sijapata yeyote. Sehemu wanazoamini usiku majini yanatembea, nimekesha nikitembea lakini sijaona lolote.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Leo ndio nimeamini Waislamu Wa Jf ni Makopo, Kila siku kusoma juzuu na kwenda Chuo, mmeshindwa kutafsiri Hio kitu mumsaidie Mwana?
Au ndio mnalindanaa??

Oya mwamba usioogope, Mwagia mchuzi wa Nyama pendwa, Mudi kwa uchoyo wake akala yeye akawaambia wenzake eti mpaka wawe jangwani
 
Hiyo inaitwa tarasimu iliekwa kwa LENGO la ulinzi haina shida yeyote, utoe katupe , akuna yesu atakayeweza kukusaidia MAANA ni uwongo pia utajisumbua awo wachungaji nao wanatumia nguvu za MIUJIZA
 
Hiyo inaitwa tarasimu iliekwa kwa LENGO la ulinzi haina shida yeyote, utoe katupe , akuna yesu atakayeweza kukusaidia MAANA ni uwongo pia utajisumbua awo wachungaji nao wanatumia nguvu za MIUJIZA
Tarasimu unaijua? Alif huijui halafu unajifanya mjanja humu
 
Fanya ifuatavyo
Nunua mafuta ya nguruwe lita moja nyunyuzia nyumba nzima kuzunguka nje
Chukua mfupa/mifupa ya nguruwe choma kila chumba moshi usambae ndani
Hapo mbele ya ngazi fukia mfupa mmoja wa nguruwe

Endelea na mambo yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…