Msaada jamani hiki ni nini?

Hiyo ni zindiko na ilizikwa hapo kwa kwa ajili ya kuzuia wachawi na ushirikina usiingie, ina madhara yake kwa kuwa anaeshi sasa hawezi kufuata masharti yake maana hajui, fuata ushauri wa kuvunja nguvu hizo kupitia imani yako au kama kuna unachoelewa katika elimu za giza.
 
Nyumba ilikabidhiwa katika madhabahu ya kichwawi kwa nadhiri ya kutoa kafara kila baada ya muda fulani.
Sasa cha kufanya iitie damu ya Yesu vunja hayo maagano .Kama hufahamu ama hujaokoka omba msaada kutoka kwa watu wa karibu wakusaidie
 
CC: Kiranga weka neno hapa.
 
Hapo tiba tayali we endelea kusali tu
 
Hivi vitu ni imani tu.
Mwaka jana nliemda huko maporini kununua mpunga. Magunia kibao.
Mwaka huu nkaanza kuanika na kukoboa.
Almost kati ya gunia kumi lazma 3 ukute zina ka nailoni kamefungiwa unga mweusi.
Wel, hua navifunua, namwaga kule naaanika nkimaliza nakoboa naenda kuuza.
So far sijapata jam yoyote, plus naokota maokoto very fresh bila ngori yoyote.
In short ukiogopa hizi mambo ndo watakutesa
 
Ndo maana sipendi kununua nyumba ya mtu, aidha nijenge mm au ninunue ivunjwe nianze upya. Kuna mda unakaa nyumba ambayo tyr ina contract na majini
Kwaiyo kiwanja hakiwezi kuwa na contract na majini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…