Msaada: Internet ya 4G ya mtandao upi ipo vizuri ktk moderm?

BJBM

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Posts
664
Reaction score
602
Habari wakuu,
Napenda niende moja kwa moja ktk mada husika kama inavyojieleza hapo juu. Nataka niingie ktk internet ya 4G kupitia moderm lkn nina upeo mdogo ktk kujua mtandao gani utanifaa.
Vigezo vyangu nahitaji mtandao wenye unafuu wa bundle na speed nzuri ya kudownload, napatikana maeneo ya bunju, Dar. Karibuni kwa ushauri
 
1. Huwezi tumia modem ya 3g kupata 4g itabidi ununue modem ya 4g

2. Sijui ni official au ni bug ila naona tigo unapata network ya 4g ukiwa na vifurushi vya 3g, kama ni official zile gb za tigo za usiku hazina mpinzani ukiwa na speed ya 4g utafanya mambo ya kutosha tu.
 
Gharama zipo vipi Mkuu?
 
Sio bug chief ndio maana hata kwenye menu yao wameviunganisha vifurushi vya 3G & 4G
 
The 4G network is the latest also it better than 3G so buy the 4G modem has a speed ..but you can find it only at a Tigo network ndugu..
 
Back
Top Bottom