Msaada huu wimbo wa Koffi Olomide

Msaada huu wimbo wa Koffi Olomide

Si ndio maana tunauliza tueleweshwe ili tusipoteze maana ya Mwenye muziki wake.
Uikale chini nikupe bhandi mukubwa yangu. Ule patrol Koffi huwa hatamki matusi. Anatamka... "uma inauma "!Na si vinginevyo. Nitatafuta tafsiri yake (wimbo ule) nikuleteeni
 
Labda ni maneno ya ki lingala ila yana sounda kama kiswahili.
kibantu hicho we unaita kouma inauma ye anamaanisha kingine ,.kuna mahali watu kwao kusema fira ni namba 4 we utasema wanatukana kila ikitajwa,pussy ni kupiga busu we utasema ni wanamaanisha lile tobo.
jiongeze alafu we umekuja mjini lini?hii nyimbo hata yeye Mopao ukimuuliza haikumbuki
 
Ndio ni nyimbo ya kitambo.

Ila mbona nimeandika hapo ni kwa nini nimeulizia leo.
 
Huyu jamaa akija nataka nimsikie akiimba wimbo huu.
 
Back
Top Bottom