Msaada: Hotel nzuri ya kufikia Mbeya city. Tzs 20 to 30 per night

Safii kabisa. Nakushauri ufikie MFIKEMO REST HOUSE, iko Sae. Kama unakwenda na basi huko Mbeya, shukia stand inaitwa Nanenane. Kisha chukua bajaj au Bodaboda, ni 1500/- mpaka hotelini. Au Taxi ni 3000/- tu. Kama unashuka na ndege Songwe Airport, chukua shuttle ya kijana mmoja anaitwa Mbaki. Mwambie akifikishe MFIKEMO R. HOUSE Sae. Ni Tshs. 10,000/-. Wasalim sana Mbeya, ni jiji zuri kabisa kwa afya. Tahadhali, kuna mvua na baridi kwa sasa, makoti ni muhimu sana.
Missing this place.
 
Back
Top Bottom