Msaada Hotel na lodge za manzese ya Bei nafuu 15-20

Msaada Hotel na lodge za manzese ya Bei nafuu 15-20

stan john

Member
Joined
Feb 17, 2022
Posts
83
Reaction score
86
Naomba msaada kwa anayejua ntaweza kupata hotel au lodge ya Bei 15 hapa maeneo ya manzese anitajie Nina uhitaji mkubwa

Logde au hotel inayoanzia chumba 15 , naomba anitajie
Au naomba mnitajie Bei za hotel na lodge manzese
 
Zipo nyingi tu ndo bei ,zake izo sogea maneo ya tiptop kule kuna hotel kibao eheee nimekumbuka manzese pale pale stend nkuna jengo chin lina ofis za tigo ni ghorofa chumba kinaanzia 15k ni pazuri, huduma zote zipo karibu night club ,malaya, pia urahsi wa stendi ni road kabisaa nareccomend apo
 
Jamaa haupo serious. Lodge ni around 20 hadi 30. Hotel ni kuanzia 40 kwenda juu, labda kuna hotel za 30 lakini hadhi yake ni ya lodge. Jina la Hotel ni kama kuvutia tuu
 
Naomba msaada kwa anayejua ntaweza kupata hotel au lodge ya Bei 15 hapa maeneo ya manzese anitajie Nina uhitaji mkubwa

Logde au hotel inayoanzia chumba 15 , naomba anitajie
Au naomba mnitajie Bei za hotel na lodge manzese
Nenda Pacific Hotel iko hapo barabarani tiptop. nadhani wana vyumba vya 20 na 30. Ila nayo nikiianalia ile ni lodge tu iliyopewa jina la hotel
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom