Msaada Hotel na lodge za manzese ya Bei nafuu 15-20

Manzese kuna hotel nyingi tu nzuri sema jina location ndiyo vinaharibu
 
Zipo nyingi tu ndo bei ,zake izo sogea maneo ya tiptop kule kuna hotel kibao eheee nimekumbuka manzese pale pale stend nkuna jengo chin lina ofis za tigo ni ghorofa chumba kinaanzia 15k ni pazuri, huduma zote zipo karibu night club ,malaya, pia urahsi wa stendi ni road kabisaa nareccomend apo
Hata chakula kipo
 
Kuna lodge ipo pale manzese Darajani karibu na mkwere Bar inaitwa syprus lodge bei yake ni 20k chumba safi,AC kama uko njombe usalama wa hali ya juu, ipo barabarani. Changamoto yake ni kelele za mziki kutoka bar za pembeni ila fresh tu
 
Kuna nyingine hapo kabla hujafika tiptop ukiwa unatokea ubungo, ina club ndani kwa ndani ten lako tu unapata chumba swaafi, ukiongeza elfu 5 unapewa na escort, panaitwa LAMBO
 
Jamaa haupo serious. Lodge ni around 20 hadi 30. Hotel ni kuanzia 40 kwenda juu, labda kuna hotel za 30 lakini hadhi yake ni ya lodge. Jina la Hotel ni kama kuvutia tuu
Anaongelea Gesti uyu
 
Kuna lodge ipo pale manzese Darajani karibu na mkwere Bar inaitwa syprus lodge bei yake ni 20k chumba safi,AC kama uko njombe usalama wa hali ya juu, ipo barabarani. Changamoto yake ni kelele za mziki kutoka bar za pembeni ila fresh tu
Ndio nilionwelekeza karib kabisa na soko nafikiri ni ghorofa
 
Zipo nyingi tu ndo bei ,zake izo sogea maneo ya tiptop kule kuna hotel kibao eheee nimekumbuka manzese pale pale stend nkuna jengo chin lina ofis za tigo ni ghorofa chumba kinaanzia 15k ni pazuri, huduma zote zipo karibu night club ,malaya, pia urahsi wa stendi ni road kabisaa nareccomend apo
Ngoja nikazangamue mbususu hapo
 
Back
Top Bottom