Msaada hivi unaweza kuhama Chuo Kikuu na SUP?

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
390
250
Samahani kwa kiswahili kibovu nilikiwa na maanisha college(vyuo vya kati kama sija kosea) ila nimeshidwa ku edit kichwa cha habari ila shida yangu kujua Je unaweza kuhama college huku ukiwa una sup?? Ningependa kujua kama ndio au hapana. Kingine ndugu zangu kuishi Tanzania siyo kujua kiswahili na simu hazifanani zingine zinakuja suggestion unakuta umesha andika umeshapost unasoma mwenyewe haujui umeandika nn na wengne tupo poor kwenye kiswahili kutofautisha H na a,r na l ila siyo kesi mrad maisha yana songa maana hadi leo ROONEY hajui kingereza na anaishi tu MESSI ndio zero kabisa hata kusema Hi mtihani. Point yangu n moja kama mtu amekosea kuandika au kusema una msaidia tu ili umpe ushaur anaohitaji
 
Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
6,975
2,000
Sup ni sawa na deni huwezi kuhama wakati una deni. Usipofanya sup wanasema umekimbia mtihani na dawa yake ni disco.
Unaweza kwenda chuo kingine ukaanze upya lakini hapo utapambana na nacte au tcu ili upate clearance.

Ngoja nikueleze mm hapa nimefanya NACTE mwaka huu matokeo bado nipo chuo cha njombe ila tatzo n barid lina nitesa sanaa yaana zaid ya sanaa unakuta kila wiki lazma nilazwe nikikosa wiki hii basi inayokuja nipo hospital nimechomwa masindano mpaka mwl umechok Nahs ninavaa masweta hadi 6 ila bado. Chaanzo n barid nikiewa kwetu moro hata kuumwa siumw mpaka wazee wananionaga labla sipend shule. Sasa nilikuwa nataka kuhama tatzo sijui kama nitakuwa clear au nitakuwa na sup ndio maana nauliza hapa mapema ili nijue kama nikiwa na sup nifanye nn?? Ili nihame huku mm nipo tayar hata kurudi semister
 
afisakipenyo

JF-Expert Member
Sep 1, 2020
554
1,000
Samahani kwa kiswahili kibovu nilikiwa na maanisha college(vyuo vya kati kama sija kosea) ila nimeshidwa ku edit kichwa cha habari ila shida yangu kujua Je unaweza kuhama college huku ukiwa una sup?? Ningependa kujua kama ndio au hapana. Kingine ndugu zangu kuishi Tanzania siyo kujua kiswahili na simu hazifanani zingine zinakuja suggestion unakuta umesha andika umeshapost unasoma mwenyewe haujui umeandika nn na wengne tupo poor kwenye kiswahili kutofautisha H na a,r na l ila siyo kesi mrad maisha yana songa maana hadi leo ROONEY hajui kingereza na anaishi tu MESSI ndio zero kabisa hata kusema Hi mtihani. Point yangu n moja kama mtu amekosea kuandika au kusema una msaidia tu ili umpe ushaur anaohitaji
mkuu ukiwa na sup huwezi kuhama na nacte ndivyo ilivyo

ukiwa na sup za ndani ya chuo i mean semester one kila mwaka hutoruhusiwa kuhama mpaka ukisha clear sup

hivyohivyo kwenye matokeo ya nacte ukiwa na sup hata moja huwezi kuhama mpaka ukishaclear sup yako mwezi wa pili na hapo muda wa kuhama utakua ushaisha

ingekua unataka kuhama ungehama semester one kuingia semester two ila kama matokeo yako ya nacte yatatoka ukiwa clear basi kuhama ni chap tu cozz unakua huna deni na wizara i mean huna sup
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom