Msaada hivi unaweza kuhama Chuo Kikuu na SUP?

mkuu ukiwa na sup huwezi kuhama na nacte ndivyo ilivyo

ukiwa na sup za ndani ya chuo i mean semester one kila mwaka hutoruhusiwa kuhama mpaka ukisha clear sup

hivyohivyo kwenye matokeo ya nacte ukiwa na sup hata moja huwezi kuhama mpaka ukishaclear sup yako mwezi wa pili na hapo muda wa kuhama utakua ushaisha

ingekua unataka kuhama ungehama semester one kuingia semester two ila kama matokeo yako ya nacte yatatoka ukiwa clear basi kuhama ni chap tu cozz unakua huna deni na wizara i mean huna sup
Asante kwa muongozo ngoja niombe dua
 
Back
Top Bottom