Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 599
- 206
Samahani kwa kiswahili kibovu nilikiwa na maanisha college(vyuo vya kati kama sija kosea) ila nimeshidwa ku edit kichwa cha habari ila shida yangu kujua Je unaweza kuhama college huku ukiwa una sup?? Ningependa kujua kama ndio au hapana. Kingine ndugu zangu kuishi Tanzania siyo kujua kiswahili na simu hazifanani zingine zinakuja suggestion unakuta umesha andika umeshapost unasoma mwenyewe haujui umeandika nn na wengne tupo poor kwenye kiswahili kutofautisha H na a,r na l ila siyo kesi mrad maisha yana songa maana hadi leo ROONEY hajui kingereza na anaishi tu MESSI ndio zero kabisa hata kusema Hi mtihani. Point yangu n moja kama mtu amekosea kuandika au kusema una msaidia tu ili umpe ushaur anaohitaji