kombaME
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,115
- 2,809
Wakuu kuna alama inatokea kwa juu kwenye notification pale, nimejaribu kufactory reset ila bado ipo, ukiwasha data au ukizima bado ipo tu, ila ukitoa lain ndo inapotea. Ukiweka tu lain inakuja haijalishi data ipo on au off.
Na hiyo notification inakuja na kupotea, km nilivyotuma kwenye picha hapo chini.
Msaada hiyo notification ina maana gani na je nawezaje kuitoa??
Na hiyo notification inakuja na kupotea, km nilivyotuma kwenye picha hapo chini.
Msaada hiyo notification ina maana gani na je nawezaje kuitoa??