Msaada hii alama ina maana gani kwenye Redmi 9t

kombaME

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
2,115
2,809
Wakuu kuna alama inatokea kwa juu kwenye notification pale, nimejaribu kufactory reset ila bado ipo, ukiwasha data au ukizima bado ipo tu, ila ukitoa lain ndo inapotea. Ukiweka tu lain inakuja haijalishi data ipo on au off.

Na hiyo notification inakuja na kupotea, km nilivyotuma kwenye picha hapo chini.

Msaada hiyo notification ina maana gani na je nawezaje kuitoa??
Screenshot_2021-04-18-19-51-36-613_com.miui.home.jpg
Screenshot_2021-04-18-19-51-48-905_com.miui.home.jpg
Screenshot_2021-04-18-20-06-01-111_com.miui.home.jpg
Screenshot_2021-04-18-20-06-05-908_com.miui.home.jpg
Screenshot_2021-04-18-20-08-49-723_com.miui.home.jpg
 
Location ipo off, na hiyo notification yenyewe ipo kule kwa juu kwenye bar za network
 
Kuanzia android 6 kuna permission za app, unaweza iruhusu app fulani kufanya kitu fulani hata kama hiko kitu kipo off.

Vuta Hilo pazia la notification kwenye ile icon ya location bonyeza bila ku achilia itakupeleka kwenye menu ya location, Angalia hapo utaona app ulizo zipa ruhusa,

Eka off usizozielewa na unaweza zote usi iruhusu zitumie location ukiwa umeweka location off.
 
Fanya hivyo mdau. Nilikuwa na hiyo kitu nikafanya Kama alivyoelekeza Chief. Nina 9T pia.
 
Kuanzia android 6 kuna permission za app, unaweza iruhusu app fulani kufanya kitu fulani hata kama hiko kitu kipo off.

Vuta Hilo pazia la notification kwenye ile icon ya location bonyeza bila ku achilia itakupeleka kwenye menu ya location, Angalia hapo utaona app ulizo zipa ruhusa,

Eka off usizozielewa na unaweza zote usi iruhusu zitumie location ukiwa umeweka location off.
@Chief-Mkwawa nimejaribu kufanya kama ulivyoelekeza lakin bado mkuu
 
Back
Top Bottom