Mkuu hii ya wadada kupenda six sijui kwanini na sina uthitisho naye maana nimeisikia JF, Ninavyojua mimi Mwanamke kukupenda au kuigiza kukupenda kuna factor nyingi ikiwemo tabia zako, uwezo wa kiuchumi, performance ya kitandani, elimu, familia unayotoka na physical appearance ambayo ndani yake kuna urefu, na viungo muhimu kama miguu, uso na vitu kama muonekano wa tumbo ambalo kuna six packs.
Kikubwa ni kujiangalia katika nyanja zote ili uwe na mvuto na maisha bora kwa ujumla sio kukariri, yaani kuwa na tabia zinazoendana na mazingira halisi au ya wakati fulani, piga shule sana, jitahidi kutafuta pesa, jifunze kumfurahisha mpenzi wako panapostahili, fanya mazoezi ili uwe active na kujikinga na maradhi ata kama muda umebana, la zaidi uwe updated na currenr trends.