Nachoweza kukushauri ni hivi - Epuka unene, kunenepa sana ni kukaribisha magonjwa yasiyo yalazima kama kisukari, Heart problems na mengineyo kama hayo! na usifanye mazoezi ili upate anasa, fanya mazoezi kuusaidia mwili wako ili ukusaidie katika shughuli zako za kimaendeleo za kila siku! epuka vyakula vya kunenepesha ikibidi kula dona la nguvu na mboga za majani na maziwa kila mara hata hiyo nguvu ya kumridhisha mwandani wako itapatikana tu tena ya kupitiliza ila ukikimbilia kujenga vigimbi kwenye tumbo ili upendwe na wadada angalia sana watakuja wenye maumbo yakawaida tu na wakakunyang'ganya kwa kutumia hekima na busara tu. Ila uchaguzi ni wako kijana