msaada hasa wadada na wakaka wanaofahamu!

msaada hasa wadada na wakaka wanaofahamu!

wewe binafsi ungependa kuwa na mwili upi kati ya hawa?na kwa nini?
kitambi.jpg
abs2.jpg

mwili wa six pack ni mwili wenye nguvu, balance na stamina compared to bodies without six packs!
 
eheee......sawa sawa........sasa......kwa kuwa na mimi binafsi ni mdau wa hiyo kitu.........naweza kukuhakikishia kwamba nitakueleza........lakini huwa inafaa sana kwa vitendo.........upo tayari....?

Mwanamke kutongoza bana..... Ukingoja utongozwe utaozea kwenu...
 
habari ya sixpack inapendwa zaidi na wasichana wadogo.. ila kwa sie wakubwa, maturity ya mtu ni muhimu sana
 
habari ya sixpack inapendwa zaidi na wasichana wadogo.. ila kwa sie wakubwa, maturity ya mtu ni muhimu sana

maturity ukiwa na maana utu uzima wake na uwezo wake wa kufikiri au? so performance is nothing to you matured women...!
 
mkuu je juna mahusiano ya moja kwa moja kati ya six pack na paerfomance ya kitandani? Kama yapo nipatie hyo elimu mkuu.

Six packs inamaana tumbo liko imara..na uimara wa tumbo maana yake ni wa mwili hasa kiuno..mgongo..na mishipa ya uume hivyo kumuongezea mwanaume uwezo wa kufanya tendo kwa muda mrefu.Lingine ni hilo la kuwa na mwili wa kimazoezi ambao huongeza mvuto.
 
nipo tayari PRETA: Itakuwa elimu nzuri sana kwangu mimi. Pm tu hakuna shida.

Hahaha marketin activities z takin placee uwiii!!mpo juu Preta na mtoa mada,ila angalia mcje shndwana
 
habari ya sixpack inapendwa zaidi na wasichana wadogo.. ila kwa sie wakubwa, maturity ya mtu ni muhimu sana

mhh sasa ukimuona mwanaume for th first time mambo ya maturity unayajuajeee....six pack speaks mengi abt a man's manliness maturity ikiwemo
 
Mtu mwenye six packs anavutia zaidi kwenye mambo ya kikubwa, humfanya mwanamke asikie nyege kwa kiwango cha juu kabisa...tofaut na wanaume ambao hawana kama nundaz,ambapo inambid mwanaume atumie ujanja wake wa ziad kumfanya mwanamke awe katik hali ya utayari(nyege) kwa kiwango cha juu
 
six pack haikuwepo enzi zile jamani!

enzi hizo nakumbuka mapenzi yalifanywa kwa upendo tu kutoka moyoni!

leo hii ukinipenda na ka six pack uchwara, kesho kakiteremshwa na kitambi? mmh!

sasa ni muda wa wanawake pia kutafuta six packs ili twende sawa!
 
Af wny six pack wanakuwaga na added confidence kidizain ,akiwa na sauti bass na motion flan hv ya kiume yanii ....bg up to all men who are real men mvuto wenu A plus....
 
nundaz kwa ushuhuda soma Uzi wa Nyakwaratony uone anavyomlilia kaka mwenye hiyo miraba Sita.
 
Sasa unaweza ukamkuta sharo baro ana six pack lkn ni mliberali au mgosi agona, kwazi kwenu mabinti shobokea!
 
bahati mbaya wengi hawsemi ukweli hasa wanaume! Wengi wanasema wanafanya mazoezi ya mwili ili kuweka mwili mbali na magonjwa...! hii inaweza kuwa sawa kwa upande wake kama mwananume lakini upande wa pili ndo sijajua kwa nini wanapendelea sana hii kitu..

Nachoweza kukushauri ni hivi - Epuka unene, kunenepa sana ni kukaribisha magonjwa yasiyo yalazima kama kisukari, Heart problems na mengineyo kama hayo! na usifanye mazoezi ili upate anasa, fanya mazoezi kuusaidia mwili wako ili ukusaidie katika shughuli zako za kimaendeleo za kila siku! epuka vyakula vya kunenepesha ikibidi kula dona la nguvu na mboga za majani na maziwa kila mara hata hiyo nguvu ya kumridhisha mwandani wako itapatikana tu tena ya kupitiliza ila ukikimbilia kujenga vigimbi kwenye tumbo ili upendwe na wadada angalia sana watakuja wenye maumbo yakawaida tu na wakakunyang'ganya kwa kutumia hekima na busara tu. Ila uchaguzi ni wako kijana
 
Six packs zingekuwa dili mabraza men wangetembea vifua wazi kama wafanyavyo masista du wakiwa mawindoni.
 
mie sijawahi kuwa na mwenye six cjui vitu gani ila nikifanikiwa kumpata nitaleta majibu
 
kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia kuwa wakaka wenye mwili wenye six pack huwa wanapendwa sana na wadada. Hii pia naiona hapa mjini wakaka wengi wanajitahidi kufanya mazoezi ya kufanya miili yao iwe na hizo six pack. SWALI kwa wadada wa humu jamii forum huu mwili wenye six pack unasaidia nini kwenye mahusiano ya mapenzi? Je kuna tofauti gani kufanya mapenzi na mtu mwenye hyo six pack na ambaye hana hizo six pack? (hapa kwa walio wahi kufanya mapenz na hao watu wenye hizo) .SWALI kwa wakaka hivi hyo six pack inakusaidia nini tofauti na kupendwa na wadada? Shukrani kama nitaelimiswa vizuri na kupata kitu kipya maishani.

Mkuu sixpack ni mkwanja wako mengine ni mbwembwe tu.
 
Back
Top Bottom