Bf Tulinagwe
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 211
- 386
Lipo mbona la vituko mtandaoni🤣🤣🤣🤣🤣 Mkuu Anzisha Thread Yako Ya Story Kama Hizi Tucheke Asee... Usiahau Kunitag Nikiyekupa Wazo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Lipo mbona la vituko mtandaoni🤣🤣🤣🤣🤣 Mkuu Anzisha Thread Yako Ya Story Kama Hizi Tucheke Asee... Usiahau Kunitag Nikiyekupa Wazo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Dunia ilivyojaaAhsante kwa ushauri ila uzuri nipo single
Mkuu ni hatari mtu anapiga huku anataja vitu alivyokosa maishani toka kazaliwa mpaka alipo tena anataja na vijavyo ambavyo anajua ameshaboronga anasubiri matokeo tu!
Watu wanataja mpaka na mikeka humo ndani utasikia maneno hayaeleweki mwishoni unasikia Arsenal..!! Hapo utaelewa tu..![]()
Sasa mkuu ni kweli wamejaa ila wamebaki wachache sana wa kuishi na watu wengi wao ni misukule tuDunia ilivyojaa
Unawezaje kuwa single ?
Na pia kupungua kwa idadi ya walipa kodi.Eneo la ardhi litapungua kwa ajili ya kumuhifadhi yeye![]()
Mkuu ni hatari mtu anapiga huku anataja vitu alivyokosa maishani toka kazaliwa mpaka alipo tena anataja na vijavyo ambavyo anajua ameshaboronga anasubiri matokeo tu!
Watu wanataja mpaka na mikeka humo ndani utasikia maneno hayaeleweki mwishoni unasikia Arsenal..!! Hapo utaelewa tu..![]()






aiseee..Kwa kiasi fulani naweza sema ndio na mara nyingi huwa napenda kuwachekesha jinsia ya kike sanasana hili hutokea automatic tu.. sisi me huwa tuko serious Sana kushinda wakike pia jiongeze kwanini napenda kuwachekesha wao😜 wanacho ambacho hatuna ila sichekeshi live mkuu ni Kama hivi kwa kuandika live ni mpk nimzoee muhusika kwelikweli!! Maana kindly huwa naona aibu! A kind of introvert one.
Mbona huko juu wamecheka wa kiume wengi..Kwa kiasi fulani naweza sema ndio na mara nyingi huwa napenda kuwachekesha jinsia ya kike sanasana hili hutokea automatic tu.. sisi me huwa tuko serious Sana kushinda wakike pia jiongeze kwanini napenda kuwachekesha waowanacho ambacho hatuna ila sichekeshi live mkuu ni Kama hivi kwa kuandika live ni mpk nimzoee muhusika kwelikweli!! Maana kindly huwa naona aibu! A kind of introvert one.
Si kwamba wa kiume hawacheki ila zaidi napenda kuchekesha ke!Mbona huko juu wamecheka wa kiume wengi..
Una kipaji Cha kuchekesha,sipati picha watu wako wa karibu wanavyovunjika mbavu kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaah...kumbe nikiwa nataka kucheka ntakuwa natafuta comments zakoSi kwamba wa kiume hawacheki ila zaidi napenda kuchekesha ke!
Si kwamba wa kiume hawacheki ila zaidi napenda kuchekesha ke!
aiseeee,😃😃😃😃Mkuu ni hatari mtu anapiga huku anataja vitu alivyokosa maishani toka kazaliwa mpaka alipo tena anataja na vijavyo ambavyo anajua ameshaboronga anasubiri matokeo tu!
Watu wanataja mpaka na mikeka humo ndani utasikia maneno hayaeleweki mwishoni unasikia Arsenal..!! Hapo utaelewa tu..😂
nikauliza kwani Kuna konda wangapi humu!!!
Niliona gari la polisi Kama zile mbavu za mbwa za Zanzibar!
hahahahaBanzi moja likanifanya nione buti zao vizuri La pili nikaanza kuona mitutu!! Nikajua nimeshayakoroga
Usisahau kutembelea uzi ule wa kula tunda. Baada ya matokeo toka hapaSi kwamba wa kiume hawacheki ila zaidi napenda kuchekesha ke!
Kwa hiyo unachukua hatua gani ?Sasa mkuu ni kweli wamejaa ila wamebaki wachache sana wa kuishi na watu wengi wao ni misukule tu
Mkuu namuomba Mungu anipe mke mwemaKwa hiyo unachukua hatua gani ?
Mkuu ule uzi ni kwaajili ya waliosajiliwa kwa alama za vidole sisi wengine Kuna usajili wa aina yake utakuja iandae pua yako vyema tu!Usisahau kutembelea uzi ule wa kula tunda. Baada ya matokeo toka hapa
God save us
Haha, usisahau kunitag tuMkuu ule uzi ni kwaajili ya waliosajiliwa kwa alama za vidole sisi wengine Kuna usajili wa aina yake utakuja iandae pua yako vyema tu!
Duuuh mnapenda vya kimasihara et?Haha, usisahau kunitag tu
God save us