Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 6,220
- 6,573
Acha adisco tu sasa kama wewe kila siku ni kumuomba papuchi badala ya kumsihi asome unategemea nini?Najua mimi ndo nimesababisha kupata hayo matokeo mabaya chuoni coz alikuwa stressed sana na tabia zangu za ukorofi so sitaki kumdisapoint nataka afanye mambo mengine hasa biashara na naamin anaweza na pia ana asili ya kichaga
Nataka nimpe mtaji aanzishe biashara
Naomba mnipe uzoefu waungwana nimpe mtaji wa kiasi gani na afanye biashara gani kwa wakati huu tuliopo itakayomkeep busy ili asiwaze haya yaliyotokea leo.
Naomba michango yenu ya kimawazo wakuu najua hapa hapaharibiki kitu
Niwatakie jioni njema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani mkuusasa unauliza umpe kiasi gani ili afanye biashara gani. Kwa nini msiulizane huko kuwa anataka kufanya nini ili mtengeneze mchanganuo ujue anatakiwa apewe kiasi gani. Naona wewe na demu wako wote mmekumbwa na disco la chuo akili zenu hazijielewi. Sijui unanielewa nachomaanisha?
Shukrani mkuu kwa ushahuri uliotukuka
Naahidi kufanyia kazi mawazo na ushahuri wenu wote na nitaleta mrejesho hapa vyovyote itakavyokuwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Heshima kwenu Wakuu.Kwa ushauri Wako huo mkuu Mungu akubariki.. Nimesoma me wakaida nimeona unakitu kizuri ndani kama akiuchukua vizuri.. Ubarikiwe sana ndugu yangu
hahahahahahahhahaah (bold) hahahahahahahSio kila mchaga afunguliwe duka. Mwambie aje na plan na mchanganuo wa biashara umpe mtaji. Ndio mkome kujitia wababe kwa wapenzi wenu.
Ha ha ha ha ha. Duh!!!mean while nae hana akili,ana disco kisa stress za mwanaume atiii mkorofi!!!!chaaaa!!!wonders can never end. Au unacho cha dhahabu kaka??
Achana nae huyo hafaiNajua mimi ndo nimesababisha kupata hayo matokeo mabaya chuoni coz alikuwa stressed sana na tabia zangu za ukorofi so sitaki kumdisapoint nataka afanye mambo mengine hasa biashara na naamini anaweza na pia ana asili ya kichaga nataka nimpe mtaji aanzishe biashara.
Naomba mnipe uzoefu waungwana nimpe mtaji wa kiasi gani na afanye biashara gani kwa wakati huu tuliopo itakayomkeep busy ili asiwaze haya yaliyotokea leo.
Naomba michango yenu ya kimawazo wakuu najua hapa hapaharibiki kitu.
Niwatakie jioni njema.
Sent using Jamii Forums mobile app
mnafanya ujinga na maisha nyie, penzi kitovu cha uzembe.Najua mimi ndo nimesababisha kupata hayo matokeo mabaya chuoni coz alikuwa stressed sana na tabia zangu za ukorofi so sitaki kumdisapoint nataka afanye mambo mengine hasa biashara na naamini anaweza na pia ana asili ya kichaga nataka nimpe mtaji aanzishe biashara.
Naomba mnipe uzoefu waungwana nimpe mtaji wa kiasi gani na afanye biashara gani kwa wakati huu tuliopo itakayomkeep busy ili asiwaze haya yaliyotokea leo.
Naomba michango yenu ya kimawazo wakuu najua hapa hapaharibiki kitu.
Niwatakie jioni njema.
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha sicheki kwa mazuri ila jamani masomo ya science ni magumu mno...ukiingia kuyasoma ujipange haswaa.kama ni CoET mwaka wa pili umekaza kimtindo hutakiwi kujilaumu mkuu, kuliwa kichwa mwaka wa pili ni kama wema kupimwa mkojo tu