Msaada nenda kwa wazazi wake waambie wewe ndio chanzo cha yeye kudisco, hapo mtapanga vizuri trust me.Najua mimi ndo nimesababisha kupata hayo matokeo mabaya chuoni coz alikuwa stressed sana na tabia zangu za ukorofi so sitaki kumdisapoint nataka afanye mambo mengine hasa biashara na naamin anaweza na pia ana asili ya kichaga
Nataka nimpe mtaji aanzishe biashara
Naomba mnipe uzoefu waungwana nimpe mtaji wa kiasi gani na afanye biashara gani kwa wakati huu tuliopo itakayomkeep busy ili asiwaze haya yaliyotokea leo.
Naomba michango yenu ya kimawazo wakuu najua hapa hapaharibiki kitu
Niwatakie jioni njema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu hatujafanya hvyo coz matokeo ni leo ndo yametokaMmejaribu kuappeal?
Asiondoke kirahisi chuo namna hiyo,kudisco saa zingine ni technical error za pande zote mbili,student na college.ambazo hua zinatatulika.
Ushauri wangu kaeni chini msome vizuri examination regulations zote kisha muone mnafanyaje..kuondoka chuo iwe last option.
Mimi nitafurahi endapo ataendelea na masomo,akielimika mtoto wa kike jamii nzima imeelimika.
NB.mimi nilidisco mara mbili na nilitengua disco zote.
Wewe nawe.... khaaa!Sio kila mchaga afunguliwe duka. Mwambie aje na plan na mchanganuo wa biashara umpe mtaji. Ndio mkome kujitia wababe kwa wapenzi wenu.
Ha ha ha ha ha. Duh!!!mean while nae hana akili,ana disco kisa stress za mwanaume atiii mkorofi!!!!chaaaa!!!wonders can never end. Au unacho cha dhahabu kaka??
Hataki kurudi chuo kwa sasaWewe umefanya makusudi ili mtoto wa watu afail ili akufanyie biashara zako na ili umtawale kwasababu kama unajua wewe ni chanzo na unampenda kweli usingemfanyia hivi cha msingi mtafutie ada ya kumsomesha aanze upya chuo kingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh..mwache apambane na hali yake. .. lkn ht ww ni mchaw tuu CAMIN KM ULMPENDA KWEL km ungempend kwel ucngexabbsh aDisco et unajcf kadisco kw ajl yk af ss hv et unajfany unampenda Kutafuta Faraja y Kinafk... Shit....
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mdada atakua hajapitiwa na nyingi kama wewe ndiyomaana akamuona huyo mwanaume ni kila kitu kwake.Sio kila mchaga afunguliwe duka. Mwambie aje na plan na mchanganuo wa biashara umpe mtaji. Ndio mkome kujitia wababe kwa wapenzi wenu.
Ha ha ha ha ha. Duh!!!mean while nae hana akili,ana disco kisa stress za mwanaume atiii mkorofi!!!!chaaaa!!!wonders can never end. Au unacho cha dhahabu kaka??
Heshima Mkuu, kzba .Naomba mnipe uzoefu waungwana nimpe mtaji wa kiasi gani na afanye biashara gani kwa wakati huu tuliopo itakayomkeep busy ili asiwaze haya yaliyotokea leo.
As long as wewe umesema,basi Sawa..pole yake,maana Ku disco nalo kipaji kama kupitiwa na nyingi kama mie....as you said. We umepitiwa na wangapi mpaka sasa vile?Huyo mdada atakua hajapitiwa na nyingi kama wewe ndiyomaana akamuona huyo mwanaume ni kila kitu kwake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie nami nini???Wewe nawe.... khaaa!
Na nadhani umewaza kwa sauti,ha ha ha ha ha. Hata Mimi nimewaza tuHuwezi jua jamaaa alikuwa anapigisha katereroo bi dada akinuniwa tu anachanganyikiwa. Nawaza tu
driller⛏⚒
Shkamoo...Mie nami nini???
Hui comment yangu,andika na wewe ya kwako,sio we nawe kama tunashare akili.
MarhabaaaaShkamoo...
Shukrani mkuu kwa ushahuri uliotukukaHeshima Mkuu, kzba .
Pole kwa masaibu yaliyokupata na yanayoendelea kukupata. Nimeona nipitie japo nami nitoe ushauri wangu wa dhati kama mwanaJamii Forums. Nb; Ushauri pia ni sumu usipochanganya na akili yako.
Binti ka-discontinuity College, huwezi tumia busara kuwajuza wazazi lililotokea?. Ukisema umfungulie biashara lengo lako la kuwa un-stressed linaweza lisitimie, You know "Love is a serious mental disease-Plato". If yes, kaa naye chini na umuulize kipi bora.
Hata kwa kuwatumia wazee, watumishi wa Mungu, pande zote za wazazi na kadhalika hudhani kuwa inaweza kusaidia?. Usiseme haiwezekani kabla ya kujaribu, What to fear is a fear itself. Nendeni kwa wazazi na Muombe radhi. Mseme lengo lenu ni binti kurudi chuo na upo tayari kusaidiana nao kulipia gharama za kielimu. Nb; usinijibu, Je ikitokea akaja kugoma kuwa nami..
Kwenda kuueleza hili suala kwa wazazi ni kwa sababu zifuatazo; Wazazi watapiga moyo konde na watatoa nafasi ya pili kwa binti kurudi shule (Things which she's suppossed). Lengo la wazazi lilikuwa binti a-graduate na si vinginevyo. Pia itakujengea wewe uhakika wa kuja kuishi naye then so far kuwa baba bora wa baadaye, If God wishes. Si anakupenda?.
Pia Itawapa wazazi Imani ya kuzidi kuwa bega kwa bega pamoja nanyi japo kosa ni la kishenzi sana (kumradhi), kwani nani asiyekosea?.
Kama una Lengo (si ndoto) na binti, kama bado unapenda kwa dhati basi huu ndiyo wakati ambao unapaswa kuwa naye karibu kuliko siku zingine zilizopita. She's in problem, she need u'r caring, humanity, empathy etc etc.
Masuala ya u-chagga, biashara anaweza, Nani alikuambia biashara ina element na u-chagga?. Tufanye maarifa binti arudi chuo next year If possible. Akishaipata Elimu, urudi na kutuomba tukueleze kiasi cha fedha pamoja na aina ya biashara ya kumfungulia binti (Mkeo mtarajiwa).
Nb; Naomba usimwache binti. Muombeni Mungu na atafanya njia pasipo na njia.
I beg to submit.
Point 1 tu hiyo disco ni rahisi sana...halafu mbona sijaelewa,vp kuhusu sup ameshafanya? Maana huwezi kupata disco kabla hujafanya supp,Hapana mkuu hatujafanya hvyo coz matokeo ni leo ndo yametoka
GpA ni ndogo kakosa kama point 1
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ushauri Wako huo mkuu Mungu akubariki.. Nimesoma me wakaida nimeona unakitu kizuri ndani kama akiuchukua vizuri.. Ubarikiwe sana ndugu yanguHeshima Mkuu, kzba .