Fanya hivi chukua simu mpigie aje ghetto,
Akija mwanangu mpige mashine sikiliza mzaza we mpige mashine,
Hakikisha unamtembezea ukuni mpka aseme eee hapa nina mwanaume,
Halafu ndo uwe mtindo wenu daily.
Sasa sisi tufanyeje sasa mkuu
Kanza halalisha mahusiano yenu ikiwa ni Pamoja na kutambulika Nyumbani kwao ikiwezekana Oa kabisa ili Mtaji utakao mpa uwe na tija ya kuendeleza na kuongeza kipato cha Familia.Najua mimi ndo nimesababisha kupata hayo matokeo mabaya chuoni coz alikuwa stressed sana na tabia zangu za ukorofi so sitaki kumdisapoint nataka afanye mambo mengine hasa biashara na naamin anaweza na pia ana asili ya kichaga
Nataka nimpe mtaji aanzishe biashara
Naomba mnipe uzoefu waungwana nimpe mtaji wa kiasi gani na afanye biashara gani kwa wakati huu tuliopo itakayomkeep busy ili asiwaze haya yaliyotokea leo.
Naomba michango yenu ya kimawazo wakuu najua hapa hapaharibiki kitu
Niwatakie jioni njema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe mjombaa upo bongo sio States kule inawezekana sasa wewe endelea kujidanganya IGA uoneWe boya bill gates, mark , steve job hawakudisco waliacha chuo kwenda kupiga mishe zao ambazo ndio zimewatoa sasa huyo wako aliyedisco chuo atadisco hadi biashara
Mmejaribu kuappeal?Najua mimi ndo nimesababisha kupata hayo matokeo mabaya chuoni coz alikuwa stressed sana na tabia zangu za ukorofi so sitaki kumdisapoint nataka afanye mambo mengine hasa biashara na naamin anaweza na pia ana asili ya kichaga
Nataka nimpe mtaji aanzishe biashara
Naomba mnipe uzoefu waungwana nimpe mtaji wa kiasi gani na afanye biashara gani kwa wakati huu tuliopo itakayomkeep busy ili asiwaze haya yaliyotokea leo.
Naomba michango yenu ya kimawazo wakuu najua hapa hapaharibiki kitu
Niwatakie jioni njema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukitaka kujua mimba ni mtaji angalia magauni ya bibi harusi wengi wa siku hizi.. Serious, mimba ni mtaji.
Hii stori wakiisoma wajukuu zako sijui utawadanganya nini tenaNB.mimi nilidisco mara mbili na nilitengua disco zote.
Huwezi jua jamaaa alikuwa anapigisha katereroo bi dada akinuniwa tu anachanganyikiwa. Nawaza tuSio kila mchaga afunguliwe duka. Mwambie aje na plan na mchanganuo wa biashara umpe mtaji. Ndio mkome kujitia wababe kwa wapenzi wenu.
Ha ha ha ha ha. Duh!!!mean while nae hana akili,ana disco kisa stress za mwanaume atiii mkorofi!!!!chaaaa!!!wonders can never end. Au unacho cha dhahabu kaka??
GpA mkuu haiko sawahapo mzee umepewa condition kuwa kwa kuwa wewe ndo umesababisha ni lazima umpatie mtaji si ajabu kakamatwa na nondo kafukuzwa chuo...
au uwezo mdogo alishidwa kuwa busy na course work anawezaje kuwa busy kwa kazi ya kujiajiri?