Msaada gharama za kuanza clinic

wewe uko wapi nenda kimara
30k inatosha ultrasound na blood cultures ila usifate utaratibu wa mapokezi tafuta daktari au ulizia chumba cha ultrasound nenda direct uongee na mtoa Huduma
 
Sio kweli jaribu kuulizia ilikuwa ivo zaman
 
wewe uko wapi nenda kimara
30k inatosha ultrasound na blood cultures ila usifate utaratibu wa mapokezi tafuta daktari au ulizia chumba cha ultrasound nenda direct uongee na mtoa Huduma
Nipo vikindu
 
Mkuu naomba uongee uhalisia acha kumpotosha dada hapa hakuna hospital ya bure kuanza clinic na kama ipo basi naomba muelekeze dada yetu ili aweze kuanza clinic maana amechelewa sana kuanza miezi mitano ni mingi sana labda kama ni mimba yake ya pili au tatu labda atakuwa na uzoefu kidogo lakini kila mimba inakuja na changamoto zake.
 
Ni ya kwanza
 
Nikifika niulizie Dr/nesi nani?
Ww ukitoka vikundi panda gari za mbagala ambazo zinatoka mkuranga au kisemvule halafu shuka mbagala rangi tatu hapo utapanda gari za chamazi nauli yake ni mia tano tu halafu shuka zebra ya chamazi hospital gari hapo huwa linasimama kwa ajili ya wanafunzi na wagonjwa kuvuka barabara.
 
Sawa mungu atufikishe salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…