Msaada wa process ya kusajili brand Tanzania

Msaada wa process ya kusajili brand Tanzania

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
14,918
Reaction score
28,637
Wanabodi bila shaka mmamka salama na kuanza week hii mpya. Dua ziwaendee wale wenye changamoto.

Niruke kwenye mada moja kwa moja.

Nataka kujua utaratibu wa kusajili brand na kupata hakimiliki (copyright) hapa Tanzania. Mchakato unaanzaje, na ni vitu gani vinavyohitajika?

Nataka ins and out za namna ya kufanya kusajili pamoja na gharama husika.
 
Back
Top Bottom