Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,611
Katoro na buseresere ni ka mji ka bata Asee nimeishi sana apo
Hakuna sehemu naikubali kama pale Asee elfu hamsini unaspend bata siku mbiliWafanyabiashara wengi wanaamini katika ushirikina ila katoro inakua kwa kasi ya ajabu
Yeah hotel guest na baa ni nyingi Sababu pamezungukwa na watu wa migodi ko biashara ipo sana kuna maduka makubwa ambayo hata dodoma hapa sijayaona nabmkusanyiko wa watu ni mkubwaSo kuna pub nying, biashara ya pombe inalipa na saloon hivi tel me
Daaah, Mkuu, nyie ni moja kati ya watu mlioamsha uzi wangu nlokua na shauku ya majibu ila sikupata kwa wakti.Katoro ni sehemu nzuri kwa kufanyia biashara inamzunguko mkubwa sana wa fedha.
Biashara ya hardware itakulipa zaidi maana watu wanajenga kila kukicha.
Biashara ya chakula cha kuku, biashara ya vyakula vya binadamu, biashara ya welding
Kilimo cha mboga mboga kitakulipa pia
Vyumba bei ni sawa na bure, unaweza pata vyumba viwili na sebule kwa 50k
Ni sehemu salama kulingana na wewe piakama uko salama......
All the best mkulu
Nilishangaa kukuta casinoHakuna sehemu naikubali kama pale Asee elfu hamsini unaspend bata siku mbili
Pameunganika panatenganishwa na barrier tu ila ndo mji mmojaBuseresere au katoro mkuu?
Zinalipa ila km unauwezo shule aisee na watu waliopo lkn huduma za kijamii sio nzuriSo kuna pub nying, biashara ya pombe inalipa na saloon hivi tel me
Hahaha Barcelona au flamingo na wewe ulikuwa unatafuta nini kwa akina aziza?Nilishangaa kukuta casino
So kwa beginners inahitaj li capita likubwa saaana mkuu,Yeah hotel guest na baa ni nyingi Sababu pamezungukwa na watu wa migodi ko biashara ipo sana kuna maduka makubwa ambayo hata dodoma hapa sijayaona nabmkusanyiko wa watu ni mkubwa
Pale pesa ipo ni ubunifu wako tu maana ni sehemu inayopokea wageni toka sehemu mbali mbali mikoani na nchi jirani buse pesa iko hata standards ya maisha ya wakazi inaridhishaSawa mkuu. Je unafuu wa maisha unaweza kuathiri kopato,
Yani kama ilivyo mbea,,
Mavyaakula mengi pesa hamna
Itategemea na biashara utakayoichagua mtaji wa kulangua mpunga ni t ofauti na kuanzisha dispensarySo kwa beginners inahitaj li capita likubwa saaana mkuu,
Coz
Ima beginner
Yap yapSo elimu hawajawekeza kiviile.
Nichungulie io fursa.