Msaada: Fursa za kiuchumi Katoro Geita

Msaada: Fursa za kiuchumi Katoro Geita

Hahaha safi Sana wanawake wengi wa kule ni kama makarai wakishatumiwa wanatupwa wanabaki kuuza maji ya asili hongera wewe haupo miongoni mwao[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
JAMANI MBONA HAO WARUNDI SIJUI NYARWANDA WATANIWUWA JMN
 
Kote bukombe kwenda mpaka bmulo uko kuna fursa nyingi sema wasukuma tatizo akisha Kula akashiba akapata ela ya kununua redio na baskeli ndo kamaliza
Ase, sawa sawa. So hawazioni fursa.
 
Katoro kuna maduka mengi ya dawa kuliko baa, kuna uwekezaji katika maduara, kuna biashara ya makincha, nguo wanapenda za shop wachimbaji,
Maduka unamaanisha ya dawa za binadamu kuu?
 
Back
Top Bottom