Ok9
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 4,554
- 4,171
Njoo upimwe mkojo Mkuu. Kama utahimili unapewaKama vip namimi nisaidie nimpate huyo mganga anipe dawa...niingie goldroom nichukue dhahabu mkuu...mana ''nimetinga''
sana lakini no changes..
Njoo upimwe mkojo Mkuu. Kama utahimili unapewaKama vip namimi nisaidie nimpate huyo mganga anipe dawa...niingie goldroom nichukue dhahabu mkuu...mana ''nimetinga''
sana lakini no changes..
Vipi kuhusu biashara ya duka la madawa ya binadamu na duka la madawa ya kilimo/mifugo?Biashara ya madini sina uzoefu nayo, unajua mji wa Katoro ni wa wafanyabiashara, wakulima, wafugaji na ndo mji unaopendwa na wakazi wengi waozunguka maeneo hayo. Hivyo kama unataka kufanya biashara, 1. Mazao 2. Vifaa vya ujenzi, 3. Vifaa vya umeme maana umeme una mda mfupi umefika. La mwisho unaweza kufanya ziara ya kufanya utafiti mdogo eneo husika.
Kwani wao wanapataje faida au wanakula hasara?Mkuu nakatishwa tamaa na eti hao wanyantuzu wenye hawajal bei, ata pale igunga wapo
Wanapata faida au wananufaikaje kwa kuuza kwa bei ndogo?Hawa watu ni balaa
Faida ndogo sana wanauzia sawa karbu na bei ya jumlaKwani wao wanapataje faida au wanakula hasara?
Magonjwa ni mengi njoo na huduma utapata watuVipi kuhusu biashara ya duka la madawa ya binadamu na duka la madawa ya kilimo/mifugo?
Upo sehem gan mi mwenyeji katrNenda katoro,mm ni mzaliwa wa hapa katoro biashara ya simu na sepear zake zitakutoa sana...kwahy njoo katoro
Najaribu tuKumbe na huku kwenye ujasiriamali upo??
Katoro ipi ya chumba elf 20??Vyumba 20000/= unapata kina Umeme vyakula bei chin kbsa
Vipo Mkuu unataka nn nikuunganishe?Katoro ipi ya chumba elf 20??
Mm nimekaa stamico, ccm na kilimahewa katoro nyumba za kupanga ni shida hata madalali hamna kule.
Ujinga Ujinga tu, baada ya kudiscuss maada mnatusema wa sisi wasukuma.Wamesinzia sana
Ndugu mwakatoro naomba kuuliza hayaNenda katoro,mm ni mzaliwa wa hapa katoro biashara ya simu na sepear zake zitakutoa sana...kwahy njoo katoro
Usafiri SAA 24,nyumba za ibaada zipo ila za starehe c nyingi,usalama upo, umeme upo,hospitali zipo ndogo ngodo japo c mbali sana kufika Geita mjini maana balabala n Rami toka bukoba yo mwanza...no wewe tu mkuuNdugu mwakatoro naomba kuuliza haya
1. Huduma za kijamii zimekaaje umeme,maji na barabara
2.kiusalama pakoje
3.je vipi kuhusu hospital na hali ya hewa?
4. Nyumba za ibada na starehe
5.usafiri na wingi wa watu.
Ni hayo tu
Wabeja sanaUsafiri SAA 24,nyumba za ibaada zipo ila za starehe c nyingi,usalama upo, umeme upo,hospitali zipo ndogo ngodo japo c mbali sana kufika Geita mjini maana balabala n Rami toka bukoba yo mwanza...no wewe tu mkuu