Msaada: Fursa za kiuchumi Katoro Geita

Msaada: Fursa za kiuchumi Katoro Geita

Hata 2 inatosha kuanzia japo utahangaika kdg.
Uijue dhahabu vizuri. Inaeza kupondwa kofuli likatengenezwa ukajua ni yenyewe.....umakin Wa hali ya juu sana unahitajika
Mmmmh, kwa kwel
 
Wakuu,

Naomba kufahamu kwa undani mji wa Katoro.

Fursa zake za kiuchumi, kilimo, ufugaji, biashara, miundombinu, makazi n.k.

Je ni sehemu salama pia?

Asanteni.
Katoro ndio kariakoo ya Geita kuna biashara
niwahi kufika mwaka jana pako vizuri wafanyabiashara wa huko wanchulia bidhaa kampala hasa nguo na vitu vya urembo,mtumba una bei hasa viatu nahisi ni
kwa sababu ya biashara ya madini
 
Mkuu nakatishwa tamaa na eti hao wanyantuzu wenye hawajal bei, ata pale igunga wapo
 
Mkuu karasha 1 lililokamilika ni mil7 ili urahisishe mwalo wako funga mawili mil 14. Hapo ni Mashine tuu.
Hizo 6 ni za kuandaa mazingira....kujenga visima....kununua mercury.....

After 6 months unagonga hata M100 au pungufu kidg
Mkuu naona unasema baada ya miezi sita kivp yaani inamaana hizo mashine zinadumu kwa miezi 6 tu nieleweshe hapo. Na je hakuna za kukodisha labda
 
Mkuu naona unasema baada ya miezi sita kivp yaani inamaana hizo mashine zinadumu kwa miezi 6 tu nieleweshe hapo. Na je hakuna za kukodisha labda
Mashine inasaga Mawe.... Ule unga unaoshwa (process za kupata dhahabu kwa njia ya mercury) then mabaki inabaki nayo wewe ambayo yana 75%ya dhahabu. Yale mabaki unarundika unapata kifusi cha tani kadhaa baada ya muda mfan let say miez 6 unauza na Mashine zako bado mpya. Labda cha kubadili ni gololi hata za laki 3 znatosha
 
Hapo nimekuelewa nitakuchek
 
Pia kuna waganga Wa kienyeji wanakupa dawa unaenda GGM bila kuonekana unachukua pure gold(matofali) uwezavyo na unatoka salama. Hizi hazina mashart ya dam wala kafara yoyote.
Nyota yako iking'aa unapewa
Hamna kitu ka hiyo mkuu..mzungu.ni mchawi kinoma...kama ingekuwa hivo Hamna raia angefanya kazi... mgodini
 
Nimefika katoro mwaka huu in sehemu inayokua kwa kasi kubwa sana pia vitu vingi vinauzwa bei ya chini sana ukilinganisha na maeneo mengine kama kahama,Geita n.k fursa ziko nyingi wew umelenga biashara gani ebu tuanzie hapo
 
Back
Top Bottom