Ok9
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 4,554
- 4,171
Wana sh ngap hapo?Hapo Ndo umenena Sawa kabisa
Wana sh ngap hapo?Hapo Ndo umenena Sawa kabisa
Santee mkuu, overbiew hyo.Biashara za Katoro zimebakwa na wanyantuzu hawa ni wasukuma Wa bariadi.
Ananunua kitu cha 10000 anauza 10500.
Faida zao ni buk....hero...ikizidi sana buk 2.
Wana ushindani Wa kupush MZIGO...... Uingize mpya. Wachaga walikimbia. Naona kuna m1 anasupply uji na tambi.(superghet).
Walevi tupo sana bila warembo huuzi.
Ngono zipo njenje. Ni noma.
Vyakula simple....bei simple..... Wali sangara mzima kwa buku 5 tu. Unapata Katoro......
Samaki mbich had za buk zipo na mnakula vizuri.
Kwa upande Wa mafundi ndo wanakula vizuri maana wanapiga sana noti..... Karibu
Una ufundi gan Mkuu?Santee mkuu, overbiew hyo.
Vipi hao mafundi wa nn
Vp mnunuzi mdogo mtaj unaeza anzia sh ngapBiashara ya dhahabu ni nzuri sana ila inategemea unataka kuwa Nani.?
Mnunuzi mkubwa ?
Mnunuzi Mdogo?(kota,broka)
Mdhamini wa migodi (madura)
Uwe unakodisha vifaa vya uchimbaji. Kama pump...copresa....
Mambo ni mengi sana hukosi cha kufanya
Vp bado wanahio. Michezo ya kuuza kindez ndezi??Wanauza kwa mashindano.
Hawaangalii faida kubwa.
Na miaka ya nyuma mali zilikuwa zinatoka Uganda na zote ni magendo hazina kodi hata 1. Ndo wkajenga kituo cha police Katoro.
Watu wanauza mzigo uishe.
Jimla rejareja lama ziko sawa tuuu.
Wanatumia sana ndumba chunga sana
Aaah fafanua bhna, vp wananunuaje kwa gram au kivp,Hapana uwe na cash muda wrote. Mzigo unakuja. Kama ni broker usikae Katoro. Zunguka migodini. Au senta zenye machimbo kama Rwamgasa... Nyarugusu.....
Hapo unanunua tuu scale.
Matapeli nao wapo wengi tuu kaa chonjo
Kwann mkuuWe veteran ee
Kipind cha nyuma ilkuwa kila baada ya SKU 1 au 2 unaskia mwizi...lkn now Nina miez 4 sjaskiaKweli? Maana naogopa sana mabwana wazee wale