Habari wakuu...Mimi nimekua blogger Kwa miaka minne sasa.
Hapo awali blog yangu ilikua inaitwa sirizaafyabora.blogspot.com baadae nikanunua domain ikawa sirizaafyabora.com
Sasa Mimi sio mtaalamu Sana WA hizi kazi so kwanzia kufungua blog mpk domain nilifanyiwa na watu.
Tatizo ni kwamba aliyeniwekea domain hakunipa utaratibu wa malipo hivyo Muda uliisha nikashangaa blog yangu haiko hewani tena.
Nilipofuatilia nikakuta domain name yangu iko sokoni inauzwa kama Dola 700 hivi.
Kiukweli Ile kitu iliniathiri Sana kwani viewers waliporomoka Sana na kufanya mapato yangu kidogo niliyokua nayo yarudi sifuri.
Sasa hivi Naona domain yangu inauzwa na kiukweli Kwa sasa siwezi kuingia gharama hizo.je nifanyaje kurudisha Kwa gharama kidogo bila kuinunua upya?
Sasa hivi natumia jina la zamani la blogspot lakini viewers wachache Sana.