- Thread starter
- #41
Ilikuwaje?😀Jamani hii chumvi mi naiogopa niliwahi kuinyunyizia kwenye nyumba ya watu mmh naona niliamsha yaliolala.... kesho yake nilibeba pochi na nguo za kazini nikaacha nyumba, nilirudi baada ya miezi miwili kurudia vitu vyangu.
