Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,737
- 27,100
Kuna mtu kamya ndani nini?
dawa ni usafi tuh asikudanganye mtu
dawa ni usafi tuh asikudanganye mtu
Soma Maelezo vizuri!Nzi wanavamia kutoka kusikojulikana wanafikia nje ya paa,ukifungua mlango tu au dirisha wanaingia ndani!!!Kuna mtu kamya ndani nini?
dawa ni usafi tuh asikudanganye mtu
Kuna mkono wa mtuSoma Maelezo vizuri!Nzi wanavamia kutoka kusikojulikana wanafikia nje ya paa,ukifungua mlango tu au dirisha wanaingia ndani!!!
LabdaKuna mkono wa mtu
Asante kwa ushauri nitaufanyia kaziMkuu achana na imam potofu mm mwenyew mwenyeji wa Mbeya japo Sjawah ona nzi maeneo yang lakin cha kufanya nenda duka LA mifugo apo mbaliz au popote Karibu na wew kuna dawa za Aina zote ila jaribu kuondoa vitu au sehem wanapopenda kutua Kama kamba hivi zingatia hiyo dawa ya ingita ina packet ya yellow inachenga chenga
Lakini sina deni lolote mkuu!😲Uchawi @ work,lipa madeni harafu subiri kama hao nzi uchwara kama watatimba tena
ASANTENI WANA JF KWA USHAURI WENU!!NILIJARIBU KUUFANYIA KAZI LAKINI KILA NILIPOTUMIA DAWA KESHO YAKE NZI WALIONGEZEKA!NILIKUWA NIKIKUSANYA WANAJAA KWENYE NUSU KILO!NIKIRI SASA NIMESHINDWA.NIMEJARIBU KUMSHIRIKISHA MWENYE NYUMBA ANATOA MAJIBU YASIYOELEWEKA ETI NI MSIMU WAKE NDIYO WAJAE KWANGU TUUU??NIMESALIMU AMRI NINAFUNGASHA VIRAGO.ABAKI NA NZI WAKEKama kichwa kinavyoeleza ninapoishi tumevamiwa na kundi la nzi Kama nyuki kwenye mzinga!Wanakuja mchana,jioni na hata usiku!Wanafikia nje ukifungua tu mlango wanaingia ndani.
Nimejaribu baadhi ya dawa haziwaui wote!Ajabu kila wanapogusa wanaacha alama ya madoa meusi meusi!Nasubiria muda muafaka niwapige picha kisha niwarushie!Hata hivyo kwa sasa mwawezaona madhara waliyosababisha kwenye baadhi ya picha hapa chini!
View attachment 1867752
View attachment 1867753
View attachment 1867754
View attachment 1867755
Hiyo nyumba haifai, Kuna mapepo wabaya wa huyo mwenye nyumbaASANTENI WANA JF KWA USHAURI WENU!!NILIJARIBU KUUFANYIA KAZI LAKINI KILA NILIPOTUMIA DAWA KESHO YAKE NZI WALIONGEZEKA!NILIKUWA NIKIKUSANYA WANAJAA KWENYE NUSU KILO!NIKIRI SASA NIMESHINDWA.NIMEJARIBU KUMSHIRIKISHA MWENYE NYUMBA ANATOA MAJIBU YASIYOELEWEKA ETI NI MSIMU WAKE NDIYO WAJAE KWANGU TUUU??NIMESALIMU AMRI NINAFUNGASHA VIRAGO.ABAKI NA NZI WAKE
Nimejaribu lakini wapi!Wanakufa leo halafu kesho wanakuja mara mbili yakeIko Dawa inaitwa ingita nadhani pkt yake ya yellow, na Dawa in chengachenga za yellow, ni balaaa wanakufa.
Ndiyo maana nimesalimu amriHiyo nyumba haifai, Kuna mapepo wabaya wa huyo mwenye nyumba
Pole sana mkuu,endelea na hiyo Dawa kila siku mkuu watapungua tu.Nimejaribu lakini wapi!Wanakufa leo halafu kesho wanakuja mara mbili yake

Asante kwa ushauri Ila kwa nilipofikishwa na hawa nzi nimesalimu amri ninaikimbia hii nyumbaNacheka japo sio mazuri, nyumba za watu zina mambo sana....
Kama ni nzi wa kawaida nunua dawa ya pakti inaitwa green leaf unachanganya na maji lita 1 unamwaga tu chini wanakufa sana.
Kama ni nzi wa mtu hilo sijui, pole.
July hadi leo September bado unatishia tu kuhama?😁Asante kwa ushauri Ila kwa nilipofikishwa na hawa nzi nimesalimu amri ninaikimbia hii nyumba
Inaisha Desemba 31July hadi leo September bado unatishia tu kuhama?😁
Kodi inaisha lini kwani?
Jamani hii chumvi mi naiogopa niliwahi kuinyunyizia kwenye nyumba ya watu mmh naona niliamsha yaliolala.... kesho yake nilibeba pochi na nguo za kazini nikaacha nyumba, nilirudi baada ya miezi miwili kurudia vitu vyangu.Duh
Nacheka kama mazuri..
Dawa nzuri Ni jina lako "umunyu" yaani "chumvi"
Tafuta chumvi ya mawe,iombee kwa Imani na inyunyize kila sehemu..
Unaweza ukawa unanyunyiza huku ukitamka na kukemea.
Nyingine iloweke itumie kudeki na kufuta madirisha na sehemu mbalimbali.
Kama kuna uhusiano wa hao nzi na nguvu za Giza basi vyote vitapotea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye nyumba anakutingisha uhame hilo ndio lengo, ukiondoka leo anaingia mwingine analipa kodi baada ya mwezi matukio yanaanza anakimbia.Inaisha Desemba 31