Msaada: Dawa nzuri ya kuua nzi

Msaada: Dawa nzuri ya kuua nzi

UMUNYU

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2017
Posts
744
Reaction score
578
Kama kichwa kinavyoeleza ninapoishi tumevamiwa na kundi la nzi Kama nyuki kwenye mzinga!Wanakuja mchana,jioni na hata usiku!Wanafikia nje ukifungua tu mlango wanaingia ndani.

Nimejaribu baadhi ya dawa haziwaui wote!Ajabu kila wanapogusa wanaacha alama ya madoa meusi meusi!Nasubiria muda muafaka niwapige picha kisha niwarushie!Hata hivyo kwa sasa mwawezaona madhara waliyosababisha kwenye baadhi ya picha hapa chini!

16272186641216566053136453472823.jpg


16272187157503342192589237139678.jpg


16272187322481202863663450163517.jpg


16272187697682084933309879123259.jpg
 
Uchawi @ work,lipa madeni harafu subiri kama hao nzi uchwara kama watatimba tena
 
Ni kwako tu na kwa majirani? Zidisha ibada dunia hii ina mambo.mengi mno unaweza ukawadhibit nzi wakaja mende bora uzidishe ibada
 
... Mbeya na msimu wote huu wa baridi nzi wanatoka wapi. Nzi kuishi below 23C ni very rare sembuse Mbeya weather ni below 15C! Sioni wakiwa nzi wa kawaida hao! Pata ushauri wa wazee Mkuu.
Ni kweli tuko msimu wa baridi lakini ndiyo hivyo hao viumbe wananitesa vilivyo
 
Ni kwako tu na kwa majirani? Zidisha ibada dunia hii ina mambo.mengi mno unaweza ukawadhibit nzi wakaja mende bora uzidishe ibada
Naona ni kwangu tu maana majirani naona wako vizuri bila tatizo lolote
 
Nenda maduka ya dawa za mifugo kuna dawa ipo kwenye pakiti jina nimesahau uwiiii inaua mpk huruma ukimwaga leo hata ukideki nzi akitua kesho anakufa
Dawa ya kumwaga chini nimeshajaribu saaaana!Wanakufa wachache sana!
 
Iko Dawa inaitwa ingita nadhani pkt yake ya yellow, na Dawa in chengachenga za yellow, ni balaaa wanakufa.
 
Nashukuru nitaitafuta
Sasa i meant this,, nayo ni ya kumwaga chini na unadai utaitafuta c utakua ushatumia my wangu na kama uliitumia unavodai wakafa wachache basi uliuziwa fekero hii inapatkana duka za dawa za mifugo.
 
Sasa i meant this,, nayo ni ya kumwaga chini na unadai utaitafuta c utakua ushatumia my wangu na kama uliitumia unavodai wakafa wachache basi uliuziwa fekero hii inapatkana duka za dawa za mifugo.
Nilinunua pakiti 10.Niliyopewa ni ungaunga Ila ni mzito mithili ya chumvi ya mawe!Niliweka wakafa wachache sana na niliuziwa duka la dawa
 
Back
Top Bottom