Muongovigezo huwa ni masomo ya english,kiswahili,mathematics, nk hivi ndo vigezo vikubwa katika masomo ya sheria
Tens big NO
Vigezo vikuu ktk sheria ni;
History
Kiswahili
English
(HKL)
Muongovigezo huwa ni masomo ya english,kiswahili,mathematics, nk hivi ndo vigezo vikubwa katika masomo ya sheria
Minimum requirement ya kusoma certificate ni ufaulu wa kidato cha kwa kupata alama D katika masomo manne na kuendelea... kwa sheria kingereza ni lazimaJamani naombeni ushauri wakubwa wangu juu ya View attachment 1014934hayo matokeo yangu nisomee kitu gani ila napenda sana kusoma UDSM
Huwezi pata labda wanafunzi wasiwepo kabisa TanzaniaJe naweza pata kwa udsm