Msaada chuo cha sheria ngazi ya cheti

Msaada chuo cha sheria ngazi ya cheti

minimum requirement ya kusoma kozi yoyote ngazi ya certificate ni pass 4 kwa maana inabidi uwe na D au kuendelea

Kwa sheria english ni lazima iwepo kwenye hizo D 4 ila kwa chuo kama IJA ili uwe kwenye nafasi nzuri kupata basi inabidi na vigezo juu ya hapo

kwa vigezo hvyo nafkili dogo alkuwa anaweza pata nafas hata hapo Ija Coz anaufaulu wa wa C-saba Kwenye maxomo ya eng,kisw,math,hist,geo,chem,bios na d- ya civ bt kutokana na hilo suala kuwa ngumu wakat wa ajira cdhan kama ataendelea na huo msimamo wake wa kusoma sheria kwa coz kiuhalisia ni ngumu sana mtoto wa mkulima tena mkulma wa kutafuta ada kusoma akitegemea kuja kujiajr mwenyewe, Labda Kama kuna njia nyingne ya kuweza kupata ajira ya coz hyo mnaweza mnaifaham mnaweza nishaur il hyu kjana aweze tmiza hyo ndoto yake, NATANGULZA SHUKRAN KWA WOTE,axubuh njema
 
C saba? kwanini asiende advance? ajira kwa ngazi ya certificate ni ngumu nimemaliza IJA najua ninachoandika
 
Asome course nyingine....! Kama mmekuwa waoga na suala la ajira,kwasababu kwenye hiyo sheria hadi aje awe kwenye nafasi nzuri ya ajira ingawa sio uhakika sana.
Ni hadi atakaposoma Certificate,Diploma,Degree na akamalizie na Postgraduate Diploma in Legal Practice pale Lawschool of Tanzania.
 
ndugu wanajamvi kama kichwa habar knavyojieleza, naomba msaada wenu wa kuvijua vyuo vya sheria kwa ngaz ya cheto coz kunamdogoangu almalza kdato cha nne mwaka 2012 xo anataka akajiunge mwaka huu na pia ntashukuru kama ntapata na contact za vyuo hucka au njia nyingne yeyote ya kuweza kupata fomu na utaratibu wa vyuo husika, natangulza Shukran Kwa Wote Watakaonisaidia+mchana Mwema Kwa Wote.

UDSM ndio chuo bora zaidi kwa certificate kwa sababu huyo dogo akipata distinction 5 ya B tano atajiunga na degree palepale atachagua kati ya LLB au Law enforcement BALE kwa sababu UDSM wana degree mbili za sheria.
AJIRA
Law enforcement ajira ni moja kwa moja polisi kama atataka,au vyombo vingine vya ulinzi na usalama.
LLB
baada ya kumaliza chuo ajiunge na law school awe wakili
 
ila mwambie na hiyo distinction kuipata kwake si kazi ndogo, pia kama anatanjia hii ya mkato anaweza pia kwenda mzumbe, rucco na saut nao unaweza ukatoka certificate direct kwenda llb
 
UDSM ndio chuo bora zaidi kwa certificate kwa sababu huyo dogo akipata distinction 5 ya B tano atajiunga na degree palepale atachagua kati ya LLB au Law enforcement BALE kwa sababu UDSM wana degree mbili za sheria.
AJIRA
Law enforcement ajira ni moja kwa moja polisi kama atataka,au vyombo vingine vya ulinzi na usalama.
LLB
baada ya kumaliza chuo ajiunge na law school awe wakili

thanx mkuu bt hyo certficate n mwaka mmoja au?,pia ada ni sh ngap?,utaratibu wa kupata fomu za kujiunga uko vpi? na pia kama kuhusiana na Law Enforcement-u mean ajira uhakika hata kwa wale watakaojiunga moja kwa moja kutoka kdato cha sita au ? Natangulza Shukrani.
 
certificate ni mwaka mmoja tu

ada inatofautiana na chuo na chuo ila kwa kukadiria tution fee na other fees ni makadirio ya 1.5m, kwa uhakika zaidi tembelea kwenye tovuti ya chuo husika

kwa tanzania law enforcement ni udsm tu na ni kwa ngazi ya degree tu kuhusu ajira sina uhakika sana
 
thanx mkuu bt hyo certficate n mwaka mmoja au?,pia ada ni sh ngap?,utaratibu wa kupata fomu za kujiunga uko vpi? na pia kama kuhusiana na Law Enforcement-u mean ajira uhakika hata kwa wale watakaojiunga moja kwa moja kutoka kdato cha sita au ? Natangulza Shukrani.

Mkuu kwa sasa Law Enforcement ni degree pekee inayohusiana na mambo ya ulinzi na usalama inayofundishwa UDSM kwa kushirikiana na wizara ya mambo ya ndani, atasoma criminals laws zote sawa LLB ila wakati LLB wanasoma civil laws BALE wao watasoma kozi mbalimbali za mambo ya usalama kama kuzuia ugaidi,upelelezi,intelligence application nk
AJIRA
Polisi inawachukua wote kama amejaza fomu ya kwenda CCP,vyombo vingine vya usalama ni kama wakitangaza nafasi kama PCCB( Financial crimes)immigration,prisons hata BOT security officer na vyombo vingine vya usalama NB intake ni 50 kwa mwaka na inservice wanakuwa wengi kidogo
 
kwa vigezo hvyo nafkili dogo alkuwa anaweza pata nafas hata hapo Ija Coz anaufaulu wa wa C-saba Kwenye maxomo ya eng,kisw,math,hist,geo,chem,bios na d- ya civ bt kutokana na hilo suala kuwa ngumu wakat wa ajira cdhan kama ataendelea na huo msimamo wake wa kusoma sheria kwa coz kiuhalisia ni ngumu sana mtoto wa mkulima tena mkulma wa kutafuta ada kusoma akitegemea kuja kujiajr mwenyewe, Labda Kama kuna njia nyingne ya kuweza kupata ajira ya coz hyo mnaweza mnaifaham mnaweza nishaur il hyu kjana aweze tmiza hyo ndoto yake, NATANGULZA SHUKRAN KWA WOTE,axubuh njema

Kama anavigezo hivyo kwanin asiende advanced level??
 
xo unamaanisha kwa sheria kupata ajira kwa ngaz ya degree ni rahic kulko chet?

Na sio sheria tu kozi yoyote degree ipo juu kuzid cheti!! Ushauri wangu mpeleken advance then aje kuapply degree.
Na lazima ujue wengi wanaotokea advance wana uwezekano mkubwa kupata loan tofauti na wa inservice!! Mpeleken advance wakuu kwa manufaa yake..
 
kwa vigezo hvyo nafkili dogo alkuwa anaweza pata nafas hata hapo Ija Coz anaufaulu wa wa C-saba Kwenye maxomo ya eng,kisw,math,hist,geo,chem,bios na d- ya civ bt kutokana na hilo suala kuwa ngumu wakat wa ajira cdhan kama ataendelea na huo msimamo wake wa kusoma sheria kwa coz kiuhalisia ni ngumu sana mtoto wa mkulima tena mkulma wa kutafuta ada kusoma akitegemea kuja kujiajr mwenyewe, Labda Kama kuna njia nyingne ya kuweza kupata ajira ya coz hyo mnaweza mnaifaham mnaweza nishaur il hyu kjana aweze tmiza hyo ndoto yake, NATANGULZA SHUKRAN KWA WOTE,axubuh njema
Peleka akasome kilimo hatajutia elimi yake hata kuwe na shida ya ajira namna gani!
 
Back
Top Bottom