Msaada: Box gani latest lenye uwezo wa kuflash simu aina nyingi?

Mie npo na GSM flasher yangu hapa inanifaa kwa kutatua matatizo madogo ya ngu na majirani, ndugu na jamaa
 
hii dawa yake ni kutafuta rom nyingine kama rom kibao zmegoma bas ujue hyo inaweza kuwa haifanani nA zingine... ndo maana unashauriwa ku backup bin au scater kabla hujaflash
Mkuu msaada tafadhali hiyo ROM nyingine naipataje?? maana nyie ndo ukumbi wenu huu.
 
"Soma kwenye Legal notices ya kila simu hawaruhusu kufungua wala kuflash mpaka uwe authorizes personel" sasa huyu jamaa ni authorized personel wa kampuni gani? kuhusu box FURIOUS BOX (1-12 ACTIVATED) napita tu
hilo ni onyo la warranty, ukifanya hivyo kampuni haitakutengenezea ukizingua.

Kama ingekua ni sheria makampuni kama cyanogen, lineage, omni yangeshakamatwa kwa kosa la kutengeneza 3rd party rom
 
Nimejifunza kitu kikubwa... hua nadowload software moja moja kila napotaka kuUpgrade simu to new version or downgrade kumbe kuna kitu kinaitwa box kina contain softwares zote..
Nilkua nawazaga sana hivi wale jamaa wa kkoo ni kuwa wanashusha OS zote za simu maana huwa hawakosi software yoyote ya simu kumbe wanakua na box.
hata hayo mabox unadownload firmware, sio kwamba linakuja na firmware zote, uzuri wa box ni kwamba unatafuniwa unakuta rom na patch zake wameshazimodify kufix matatizo ya simu husika
 
emegency only Invalide imei.. Tatizo hili nila baseband na kernel linaweza tokea pale mtu anapofanya upgrading or downgrading without proper device ROm. file required(Moderm.img)
First:
1.troubleshooting Device to know Problem resons(hardware of software).
2.If you dont do upgrade/flashing etc. goto hardware
3.in hardware find Baseband ic,
5.if is software issue you can restore /efs folder of you need two files Kernel patch and moderm in zip package copy to sd card then do update from zip start with kernel and then moderm

solved
Mkuu sorry me nataka msaada hv inawezekana kufanya Huawei wireless router kutumia mitandao yote ya Vodacom
 
Nimejifunza kitu kikubwa... hua nadowload software moja moja kila napotaka kuUpgrade simu to new version or downgrade kumbe kuna kitu kinaitwa box kina contain softwares zote..
Nilkua nawazaga sana hivi wale jamaa wa kkoo ni kuwa wanashusha OS zote za simu maana huwa hawakosi software yoyote ya simu kumbe wanakua na box.
Os lazima uwe nayo mkuu
 
mwenye vfd200 hyo inatoka remotely, jst unantumia imei no za hyo cmu zen nakutumia unlock code within 2mins.... km uko interested lets make it happen right now
 
'cracking world mimi nina software ya miracle box imemodiwa na haihitaji box kuflash naflash simu yoyote ile bila wasiwasi bila box only usb cable na pc.
Package nzima ni 2.5GB ikiwa na collection za required data files,drivers,mod nk.
ninatumia kuondoa partern,kuread partern,gmail,pasword,flashing,unbrick,repair phones software,upgrading,dwngrading,sim card unlocking na vingine vingi.

ukihitaji package hii nicheck inbox kwa bei poa. na pia ni vizuri uje uthibitishe inafanya kazi kweli au la.
0758450780 tuwasiliane
 
nimepata mesej mkuu.. nakupa unlock code muda c mrefu, ila utachangia elf7 kaka
 
Back
Top Bottom