kingsize25
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 229
- 361
Mie npo na GSM flasher yangu hapa inanifaa kwa kutatua matatizo madogo ya ngu na majirani, ndugu na jamaa
Vfd200 inatoka kwa nck boxMfano vodafone vfd 200
Mkuu msaada tafadhali hiyo ROM nyingine naipataje?? maana nyie ndo ukumbi wenu huu.hii dawa yake ni kutafuta rom nyingine kama rom kibao zmegoma bas ujue hyo inaweza kuwa haifanani nA zingine... ndo maana unashauriwa ku backup bin au scater kabla hujaflash
hilo ni onyo la warranty, ukifanya hivyo kampuni haitakutengenezea ukizingua."Soma kwenye Legal notices ya kila simu hawaruhusu kufungua wala kuflash mpaka uwe authorizes personel" sasa huyu jamaa ni authorized personel wa kampuni gani? kuhusu box FURIOUS BOX (1-12 ACTIVATED) napita tu
hata hayo mabox unadownload firmware, sio kwamba linakuja na firmware zote, uzuri wa box ni kwamba unatafuniwa unakuta rom na patch zake wameshazimodify kufix matatizo ya simu husikaNimejifunza kitu kikubwa... hua nadowload software moja moja kila napotaka kuUpgrade simu to new version or downgrade kumbe kuna kitu kinaitwa box kina contain softwares zote..
Nilkua nawazaga sana hivi wale jamaa wa kkoo ni kuwa wanashusha OS zote za simu maana huwa hawakosi software yoyote ya simu kumbe wanakua na box.
Mkuu sorry me nataka msaada hv inawezekana kufanya Huawei wireless router kutumia mitandao yote ya Vodacomemegency only Invalide imei.. Tatizo hili nila baseband na kernel linaweza tokea pale mtu anapofanya upgrading or downgrading without proper device ROm. file required(Moderm.img)
First:
1.troubleshooting Device to know Problem resons(hardware of software).
2.If you dont do upgrade/flashing etc. goto hardware
3.in hardware find Baseband ic,
5.if is software issue you can restore /efs folder of you need two files Kernel patch and moderm in zip package copy to sd card then do update from zip start with kernel and then moderm
solved
Yaah ila itakua poa ukitumia nck dongle ndio ninaitumiaga ku unlock visimu vya tigo...nayo crack ipoHii ina network unlock?
Os lazima uwe nayo mkuuNimejifunza kitu kikubwa... hua nadowload software moja moja kila napotaka kuUpgrade simu to new version or downgrade kumbe kuna kitu kinaitwa box kina contain softwares zote..
Nilkua nawazaga sana hivi wale jamaa wa kkoo ni kuwa wanashusha OS zote za simu maana huwa hawakosi software yoyote ya simu kumbe wanakua na box.
Jaribu version tofaut ya sp flash tool,au inawezekana huna correct rom, pia kumbuka kuto flash preloaderMkuu msaada tafadhali hiyo ROM nyingine naipataje?? maana nyie ndo ukumbi wenu huu.
0758450780 tuwasiliane'cracking world mimi nina software ya miracle box imemodiwa na haihitaji box kuflash naflash simu yoyote ile bila wasiwasi bila box only usb cable na pc.
Package nzima ni 2.5GB ikiwa na collection za required data files,drivers,mod nk.
ninatumia kuondoa partern,kuread partern,gmail,pasword,flashing,unbrick,repair phones software,upgrading,dwngrading,sim card unlocking na vingine vingi.
ukihitaji package hii nicheck inbox kwa bei poa. na pia ni vizuri uje uthibitishe inafanya kazi kweli au la.
Nime kuPM mkuumwenye vfd200 hyo inatoka remotely, jst unantumia imei no za hyo cmu zen nakutumia unlock code within 2mins.... km uko interested lets make it happen right now
weka simcard tofaut na ya voda ili cmu idai unlock code then subiri code... nimekupa term hapo juu ila hujanambia km umeridhika nayo au vp?Nime kuPM mkuu
Hamna tabu mkuu... Alimradi tumalize tatizo.nimepata mesej mkuu.. nakupa unlock code muda c mrefu, ila utachangia elf7 kaka
Nakusubiri mkuu.weka simcard tofaut na ya voda ili cmu idai unlock code then subiri code... nimekupa term hapo juu ila hujanambia km umeridhika nayo au vp?