Kuflash Simu haiitaji kwa Kiasi kikubwa Kuwa na Boxes
maana almost 70 percent ya simu zina flashika bila kuwa na box
binafs nipo kwenye hii kaz tangu mwaka jana japo tangu nikiwa chuo nilikua naflash simu za wanafunzi ila kiundani nmeanza last year... ningeweza kukushauri mambo kadhaa
miracle box na Volcano ni mabox maarufu sana kwakua yanafanya vitu vingi lakini katika ufanisi wa kutenda kazi hayafai
niamini mkuuu... fuata maelezo ya wakuu waliokwambia uangalie aina simu zinazopatikana maeneo uliyopo.
kama kuna wateja wengi wa simu za kichina kama (spd na MTK) yaani tecno, itel na wengine nakushauri first priority chukua infinity box, option ya pili ningeweza kukushauri iwe miracle box ..
uzuri wa miracle ukilipia inakuja na package ya simu zinazosuport zote , lakini infinity ndio nzuri ila kila aina ya jamii ya simu unalipia kivyake... mfano ili kuflash simu za mtk utalipia huduma ya mtk pia hivyo hivyo kwa qualcom na spd na nokia.
pia hizi simu za kichina linapokuja suala la ku unlock mtandao infinity inafyatua simu za kichina kiurahisi kuliko volcano na miracle....
lakini hayo mabox linapokuja suala la simu za gharama hasa samsung, lg na baadhi ya huawei Hayo mabox hapo juu hayana msaada sana... hapo utahitaji uwe na octoplus, octopus na zx3 ndo yanafaa zaidi
pia ukija kwenye visimu vidogo vya button hasa vya MTK, Coolsand, Spd, mstar na wengine Baba yao ni GPG box... Hili ni very cheap pia lina saidia na zle smartphone low quality za kichina zisizo na 3g, kutoa passwords na vitu vingine...
lakini pia Kuna ishu za ku unlock mtandao watu wanashauri uwe NCK, Sigma key na Furious box (japo mm mwenyewe sijawah tumia
lakini Muhimu Jifunze kuflash smu na Ku repair bila kutumia mabox kwanza ndo utaiva