Msaada "blocked amount" kwenye akaunti yangu CRDB

Kati ya watu hewa kwenye online transaction ni CRDB Bank, yan huwa wanablock sana. Mimi mpaka nikahama bank
 
Hakika nasikitishwa sana na crdb bank nilipoteza laki mbili na elf 40 kwa muamala wa online ulokua haukufabikiwa na msaada kwao sikupata
 
Bank abc ndo safi, sio lazima uwe na acc na wanashauri kwa online purchases usitumie acc yako.
Wanakupa kadi we ndiye unachagua wataka kadi ya dola au ths then unakuwa waweka ela kwa njia ya simu au pale bank wafanya purchases zako
 
Hiyo ipo safi sana. Sema hiyo kadi wanayakupa si ndio account yenyewe. Inamaana kwamba kqdi itakuwa na info zako na unaweza kuweka fedha na kutoa.
 
Sijui niseme nini ila wao wanasema sio acc na huwezi draw ela iliyomo kwenye bank bali kwa atms.
Wanafunzi wengi wanaosoma nje wanatumiwa ela na wazazi kwa njia hii
 
watakusumbua tu.internet banking ni kwa corporate customers tu-kituko: Na inakuwa ngumu sana kufanya purchases bila ya kuwa na internet banking.Utahitaji kucheki hizo transactions mara nyingi.
-Ukitaka efficient services tumia Barclays.
-Ukitaka huduma nzuri wastani tumia Crdb.
Standard chartered pia wako vizuri ila siipendi iyo benki.
 
Back
Top Bottom